Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
utumishi hawanaga izo aliyekwambia atakua kakudanganya.Kwa hiyo wakuu, kama kuna sehemu kuna kibarua wewe nenda kafanye kwanza ,huu upepo upite.... So kwa hili siwalaumu utumishi.... itakuwa wamepewa maelekezo wa Stop kwanza.. Kwa hiyo hamna hamna hapa Sijui Mwezi gani tena... Na ubaya utumishi huwezi piga simu ukaulizia hiyo Mishe.... Ukisikia Gundu ndio hili
Sasa Boss Wale ambao , Taasisi zimefutwa watapata nafasi wapi?? Au wataomba wafanye interview Tena??utumishi hawanaga izo aliyekwambia atakua kakudanganya.
Mimi uhakika sina ila assumption zangu zinanituma hivyo, cz kwa ule mfululizo wa interview nafikiri now kungekuwa hata na mikeka 5 .ila imetoka 2 tu.muda wowote siku yoyote utumishi wanaweza placement hakuna kitu kama hicho hawaeleweki wale.
na mm nilifanya usahil katka shirika lililovunjwa daaah joblessness awaits meWAKUU HABARI.
Mimi naona nikate Tamaa kwa niliyosikia Tetesi.... Utumishi wataita tu watu ila tunatakiwa tuwe watulivu,sana... Kwa sababu serikali inafanya process za yale mashirika yaliyovunywa kuhamisha wale watumishi katika taasisi nyengine... Ndio maana kuna kimya kikubwa hapa kati.
MFano ;- kuna taasisi A ilikuwa inahitaji watu, basi badara ya kupelekwa wewe ataenda yule aliyetoka taasisi ambayo imevunjwa kama ana sifa za kada husika. Mfano ; ww ni afisa hesabu na yy ni afisa hesabu.
so majina yatatoka either yawahi au yachelewe but sio kwa kiwango kile, na hii imesababishwa na hilo jambo.
so kazi ya sekretariet ya ajira sasa, ni ku mobilize kwanza wale watumishi thn watatu solve na sisi. Asanteni na kwa herini maana nitaenda offline kwa muda wa mwezi mmoja.
Nimeweka bundle takribani miezi 2 mtawalia hili la kuvunja taasisi litatucheleweshea placement kwa namna moja au mbili.
watapangiwa tu watakapohitajiaka wala wasiwe na wasiwasi na asikudanganye mtu eti database inaexpire ndani ya mwaka 1 ni uongo.yale majina hua wanakua nayo wanayatumia pale tu kunapokua na umuhimu wa kufanya ivo wanamaana yao kusema ivo.Sasa Boss Wale ambao , Taasisi zimefutwa watapata nafasi wapi?? Au wataomba wafanye interview Tena??
amna usjali mbona hata kabla ya haya mambo ya kuunganisha taasisi walikua wanasuasua tu.Mimi uhakika sina ila assumption zangu zinanituma hivyo, cz kwa ule mfululizo wa interview nafikiri now kungekuwa hata na mikeka 5 .ila imetoka 2 tu.
Taasisi Gani Mkuu?? pia kama umefauru sio lazima upangiwe kule unapangiwa popote kwenye nafasi.na mm nilifanya usahil katka shirika lililovunjwa daaah joblessness awaits me
Yes Upo sahihi unavyosema....Sikupingi. lakini Je hili Taasisi kuvunjwa halitatugusa kweli sisi jobless kwa namna moja au nyengine??amna usjali mbona hata kabla ya haya mambo ya kuunganisha taasisi walikua wanasuasua tu.
kitu kitakachotokea ni kwamba unaweza utajikuta umepangiwa taasisi nyingine au humo humo kwenye iyo taasisi ambayo imekua harmonized lakini hawawez kuwapotezea.Yes Upo sahihi unavyosema....Sikupingi. lakini Je hili Taasisi kuvunjwa halitatugusa kweli sisi jobless kwa namna moja au nyengine??
Pole Mkuu ila Utapangiwa Sehemu Nyengine, ubaya tu yani utumishi hujui placement lini wanatoa...yani kama hapa wangeweka tangazo hata instagram labda mkeka unaofuata tarehe fulani inakuwa rahisi
ujobless kaz sanaPole Mkuu ila Utapangiwa Sehemu Nyengine, ubaya tu yani utumishi hujui placement lini wanatoa...yani kama hapa wangeweka tangazo hata instagram labda mkeka unaofuata tarehe fulani inakuwa rahisi
🤣🤣huko kunaitwa kukandwa kidigitali.