Armstrongs
Member
- Sep 8, 2022
- 54
- 280
Napambana hadi mwisho kakaπ₯± hadi za MDA nyingine nlizoapply mtaniona [emoji23], mpaka siku nikijiona nipo placedWewe ushapata kazi nakuambia, rudi tu home . Sasa hapo Dom unasubiri nin!
Hatari mzeee tupeanr moyo tuu mtaani kugumuwizy na Genuine raf munastahiri tuzo maana sio Kwa kutupa moyo huku
Mzee kazi unayo tayar tangulia Dom kuchukua barua pdf litafatiaπππππHii suti yangu nitaupeleka wapi sasa usiseme hivyo mzee
πππππNamuagiza Prok aje na barua yangu kutoka utumishi hamna haja ya pdf Yani interview nifanye Mimi afu nisubiri pdf hizi so dharau?Mzee kazi unayo tayar tangulia Dom kuchukua barua pdf litafatia
Kwa sababu hawana uhitaji kwa sasa.Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
Utumishi wametugomea [emoji2955][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuagiza Prok aje na barua yangu kutoka utumishi hamna haja ya pdf Yani interview nifanye Mimi afu nisubiri pdf hizi so dharau?
ππππWanadhalau nauli zetu hawaUtumishi wametugomea [emoji2955]
Hapo angalau unakuwa unajiamini kwenye masuala mazima ya kiusalama[emoji3][emoji3]Tumesoma wote chuo na law school, namjua ni kondoo wa Bwana. Halafu anatoka kwetu nlipozaliwa
Mimi haijabadilika ipo selected for oral Sasa mnanipa wasiwasi nimepigwa ngumi ndoige [emoji24],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oya kwahiyo nimekandwa au sio
Hahahahaa.Dah natamani ningekuwa wa kishua aisee, ningewarecruit nyote private naunda ata taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HaswaaaHapo angalau unakuwa unajiamini kwenye masuala mazima ya kiusalama[emoji3][emoji3]
Ulifanya taasisi gani?Mimi haijabadilika ipo selected for oral Sasa mnanipa wasiwasi nimepigwa ngumi ndoige [emoji24]
πππππKwahiyo mshatuona jobless ni wezi hahhhhHapo angalau unakuwa unajiamini kwenye masuala mazima ya kiusalama[emoji3][emoji3]
ππππHahhhhh daaah jobless haaminiki hata na jobless wenzieHaswaaa
Hahahahaa.
Huo ndio uhalisia wenyewe
Hapana hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mshatuona jobless ni wezi hahhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mshatuona jobless ni wezi hahhhh
Jobless hadi utelezi mnautaka, sijui nguvu mnazitolea wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh daaah jobless haaminiki hata na jobless wenzie