Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanaoenda kufanya prac lazima majibu yatoke leo.

Huwezi kusema uyatoe kesho halafu utarajie mtu wa Mbeya, Mwanza aje hiyo hiyo kesho ili kesho kutwa akapige prac
Yatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewi
 
Back
Top Bottom