Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wafuatao watambue walifanya usaili na kufaulu hivyo wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vya kazi mara baada ya nafasi kupatikana✍️
Noma sana Kuna na Ile ya ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hii watambue Kuwa hawakufaulu usaili na wasisite kuomba Tena pindi nafasi zitakapo tangazwa
 
Bado bilabila
Capture%2B_2022-11-03-17-07-06.jpg
 
Wafuatao watambue walifanya usaili na kufaulu hivyo wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vya kazi mara baada ya nafasi kupatikana[emoji3578]
Hahahahaaa.

Kwamba kanzidata inatangazwa kabla nafasi hazijapatikana
 
Back
Top Bottom