Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ka
Mi sidhani kama venue ni tatizo wao t wana michakato mingi
.michakato ipi mkuu? Maana kama wametangaza hizo kazi toka mwezi wa 5 mpaka leo michakato ni ipi? Mi nadhani wangekua wanatoa mda maalumu kuwa toka kazi itangazwe hadi mtu kupangiwa iwe miezi kadhaa watu wajue. Maana kazi zingine kama za Bunge ilikua chap chap vivo hivyo na vyuo tofauti na hizi taasisi zingine.
Kazi nyingine inachukua hata miezi 6 asee.

Tuite chepe chepe na sio kijiko kikibwa jamani. Duh!
 
Eeeh aisee, sasa nikafue suti, nianze msuri upya maana hawa watu[emoji2955]
Hongera sana, ikawe kheri.

Mimi mzee wa deafeted kila mara hata sijihangaishi kuangalia akaunti, pdf tu huwa inanijuza
 
Sema wanatanguliaga kuweka waliofaulu mzee ukiona wanachelewa kukuwekea ujue wamekukanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sijihangaishi kuangali profile
 
Tutakuwa pamoja pale Asha Rose. Sijui this time nibebe mwamvuli[emoji24]. Jua linakupiga hadi unakuwa mweusi.
Nasubiri tu pdf, kwenye akaunti huwa hawaniwekei walishanikanda
 
Back
Top Bottom