Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ni jobless lakini mwili unafanya kazi mzee au sisi ni walemavu?
Pamoja na kuwa mwili unafanya kazi, jobless hawezi kumudu utelezi decent[emoji3][emoji3][emoji3].

Unakumbuka jamaa yako alisafishiwa wallet alipokuwa anapata utelezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…