Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

- kwa maelezo yako ya awali napinga kuwa ofisi iko Town, huwezi kusema umeenda eneo Kila huduma hakuna Tanzania hii? hiyo siyo mijini hiyo ni zile halmashauri za vijijini
-
Mkuu nimefika pale ,Eneo lipo karibu na chuo kabisa.... Mimi nikataka kula chipsi naambiwa hapa chipsi hakuna mpaka upande gari 600 ,kule ndio zipo. Pale nje hamna hata kijana wa kuuza zile skins na boyfriend jeans za kina dada.... Hakuna hata Airjordan za kupanga chini za wale ma brotherman... Sawa hata office za kuweka kucha kwa wale warembo wa chuo na wadada wa ushuani pale .... Hiyo Tuache... Wale watu wanapata shida ya chakula eneo lile mpka wapande gari... Yani hata matunda ya kukata hakuna... 🤣 ... Ukiuliza eti pale ushuani kama posta vile 🤣....Kama hujawahi fika sehemu kama POSTA. thn tafuta huduma ya kula uone balaa lake na buku 2 yako hiyo.
 
Yani Nina Basic ya millioni na laki 6+. sina mkopo board.. ofisi ipo town, yani usipofunga dirisha unasikia sauti za honi za magari na brake. Alafu wewe wa Tgs D sijui E ..ile increment yako ya mwaka ...ifanye mara mbili ndio increment yangu ya mwaka.

Thn anatokea mtu anasema ooh ,sijui naniliu sijui nini🤣, yani nipate beautifully salary ya hivi thn nilalamike..Si nitakuwa mwendawazimu.
Ungepata kazi TANROADS kama Civil Engineer II kama Mimi nahisi ungetafuta bango kabisa
 
- umeandika mambo ya maana lakini pia umeonyesha uhalisia kuwa umepangwa halmashauri, na umepanga ukipata pesa zako za kujikimu/ salary uanze kujihusisha na kilimo
January sio mbali sana... Au nitascrenshot digits mbili za salary ..kutoka salary slip alafu uniambie halmashauri ya kijiji gani digits inaanza na 1,6..... 🤣 .
 
Mkuu nimefika pale ,Eneo lipo karibu na chuo kabisa.... Mimi nikataka kula chipsi naambiwa hapa chipsi hakuna mpaka upande gari 600 ,kule ndio zipo. Pale nje hamna hata kijana wa kuuza zile skins na boyfriend jeans za kina dada.... Hakuna hata Airjordan za kupanga chini za wale ma brotherman... Sawa hata office za kuweka kucha kwa wale warembo wa chuo na wadada wa ushuani pale .... Hiyo Tuache... Wale watu wanapata shida ya chakula eneo lile mpka wapande gari... Yani hata matunda ya kukata hakuna... 🤣 ... Ukiuliza eti pale ushuani kama posta vile 🤣....Kama hujawahi fika sehemu kama POSTA. thn tafuta huduma ya kula uone balaa lake na buku 2 yako hiyo.
Posta migahawa mbona ipo Mahakama kuu nyuma Kuna mgahawa, IFM Kuna mgahawa, nk
 
Kwa hiyo unalinganisha posta na halmashauri za wilaya za huko vijijini?
Boss kama umepangwa halmashauri ni wewe... Na ukishindwa tumia fursa ni wewe na akili zako za darasani... Huko vijijini kuna wadau ni matajiri huku mjini hakuna? Thn dhumuni la kuishi maisha ya amani ni kuwa financial freedom ... Unaweza kuishi bila kutegemea chanzo kimoja cha hela...mimi hata ningepangwa halmashauri ningeenda.. japo nyota yangu inaonekana ni ya sehemu nono ndio maana nimeangukia huku. Cz ukifanya interview utumishi wanakupanga popote. Inategemea na nyota yako kama ya shamba utaenda tuu.
 
Back
Top Bottom