Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Ndio nimekuuliza mtu kama wewe halmashauri unaweza kwenda ukakaa ukala hapo chakula cha elfu 4 na hushibi??? Maana nyie vyakula vyenu either pass ndefu au kuna vile vibanda umiza 🤣IFM Kuna brela,chuo Cha utalii, chuo Cha Utumishi wa umma, wizara ya nishati na madini, Tanroads HQ,hazina vyote viko karibu,