Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 428
- 1,341
Mkuu nimefika pale ,Eneo lipo karibu na chuo kabisa.... Mimi nikataka kula chipsi naambiwa hapa chipsi hakuna mpaka upande gari 600 ,kule ndio zipo. Pale nje hamna hata kijana wa kuuza zile skins na boyfriend jeans za kina dada.... Hakuna hata Airjordan za kupanga chini za wale ma brotherman... Sawa hata office za kuweka kucha kwa wale warembo wa chuo na wadada wa ushuani pale .... Hiyo Tuache... Wale watu wanapata shida ya chakula eneo lile mpka wapande gari... Yani hata matunda ya kukata hakuna... 🤣 ... Ukiuliza eti pale ushuani kama posta vile 🤣....Kama hujawahi fika sehemu kama POSTA. thn tafuta huduma ya kula uone balaa lake na buku 2 yako hiyo.- kwa maelezo yako ya awali napinga kuwa ofisi iko Town, huwezi kusema umeenda eneo Kila huduma hakuna Tanzania hii? hiyo siyo mijini hiyo ni zile halmashauri za vijijini
-
Njoo mkuu achana hukoMkuu na wewe uko Halmashauri,vipi hali ya hapo halmashauri kwako? Huku kwangu naona jua kali tu bora ningeendelea kuchana mbao Mufindi.
Nenda mfao POSTA uliza saloon, uliza sehemu ya kula hata chipsi... Ndio utaelewa nazungumzia mjini ya vipi. Au nenda osterbay ...ndio utaelewa nini maana ya mjini... Na kijijiniKivumbi hiyo ni Kakonko Dc
🤣🤣 Mkuu ICT SECURITY OFFICER Anaenda kufanya kazi ya namna gani halmashauri ??? 🤣🤣 Naenda protect data gani???- umeandika mambo ya maana lakini pia umeonyesha uhalisia kuwa umepangwa halmashauri, na umepanga ukipata pesa zako za kujikimu/ salary uanze kujihusisha na kilimo
Ungepata kazi TANROADS kama Civil Engineer II kama Mimi nahisi ungetafuta bango kabisaYani Nina Basic ya millioni na laki 6+. sina mkopo board.. ofisi ipo town, yani usipofunga dirisha unasikia sauti za honi za magari na brake. Alafu wewe wa Tgs D sijui E ..ile increment yako ya mwaka ...ifanye mara mbili ndio increment yangu ya mwaka.
Thn anatokea mtu anasema ooh ,sijui naniliu sijui nini🤣, yani nipate beautifully salary ya hivi thn nilalamike..Si nitakuwa mwendawazimu.
🤣🤣 Mkuu ICT SECURITY OFFICER Anaenda kufanya kazi ya namna gani halmashauri ??? 🤣🤣 Naenda protect data gani???
January sio mbali sana... Au nitascrenshot digits mbili za salary ..kutoka salary slip alafu uniambie halmashauri ya kijiji gani digits inaanza na 1,6..... 🤣 .- umeandika mambo ya maana lakini pia umeonyesha uhalisia kuwa umepangwa halmashauri, na umepanga ukipata pesa zako za kujikimu/ salary uanze kujihusisha na kilimo
Kupokea salary Bado sana,January sio mbali sana... Au nitascrenshot digits mbili za salary ..kutoka salary slip alafu uniambie halmashauri ya kijiji gani digits inaanza na 1,6..... 🤣 .
Halmashauri wapo mbona, hao watu🤣🤣 Mkuu ICT SECURITY OFFICER Anaenda kufanya kazi ya namna gani halmashauri ??? 🤣🤣 Naenda protect data gani???
Boss Kwa huu mshahara ,naomba miaka 5 ... nitakuwa na mimi nawalipa watu mshahara.Ungepata kazi TANROADS kama Civil Engineer II kama Mimi nahisi ungetafuta bango kabisa
Posta migahawa mbona ipo Mahakama kuu nyuma Kuna mgahawa, IFM Kuna mgahawa, nkMkuu nimefika pale ,Eneo lipo karibu na chuo kabisa.... Mimi nikataka kula chipsi naambiwa hapa chipsi hakuna mpaka upande gari 600 ,kule ndio zipo. Pale nje hamna hata kijana wa kuuza zile skins na boyfriend jeans za kina dada.... Hakuna hata Airjordan za kupanga chini za wale ma brotherman... Sawa hata office za kuweka kucha kwa wale warembo wa chuo na wadada wa ushuani pale .... Hiyo Tuache... Wale watu wanapata shida ya chakula eneo lile mpka wapande gari... Yani hata matunda ya kukata hakuna... 🤣 ... Ukiuliza eti pale ushuani kama posta vile 🤣....Kama hujawahi fika sehemu kama POSTA. thn tafuta huduma ya kula uone balaa lake na buku 2 yako hiyo.
Itakuwa alikuwa mwalimu akajiendeleza, akatoka kufundisha akaja huko.. Hakuna directly post yoyote mtu wa security aende halmashauri .... Kwanza data zao huko zinalindwa na password tu ya computer.Halmashauri wapo mbona, hao watu
Posta migahawa mbona ipo Mahakama kuu nyuma Kuna mgahawa, IFM Kuna mgahawa, nk
Kwa hiyo unalinganisha posta na halmashauri za wilaya za huko vijijini?Nenda mfao POSTA uliza saloon, uliza sehemu ya kula hata chipsi... Ndio utaelewa nazungumzia mjini ya vipi. Au nenda osterbay ...ndio utaelewa nini maana ya mjini... Na kijijini
Umefanya research vizuri?Itakuwa alikuwa mwalimu akajiendeleza, akatoka kufundisha akaja huko.. Hakuna directly post yoyote mtu wa security aende halmashauri .... Kwanza data zao huko zinalindwa na password tu ya computer.
IFM Kuna brela,chuo Cha utalii, chuo Cha Utumishi wa umma, wizara ya nishati na madini, Tanroads HQ,hazina vyote viko karibu,Kwa hiyo mahakama kuu, ndio kule unaenda na Buku 2 yako wanakupa chakula enh??? na vipi vyuo vikiwa vimefungwa hapo IFM wanawapikia kina Nani canteen mule???
Boss kama umepangwa halmashauri ni wewe... Na ukishindwa tumia fursa ni wewe na akili zako za darasani... Huko vijijini kuna wadau ni matajiri huku mjini hakuna? Thn dhumuni la kuishi maisha ya amani ni kuwa financial freedom ... Unaweza kuishi bila kutegemea chanzo kimoja cha hela...mimi hata ningepangwa halmashauri ningeenda.. japo nyota yangu inaonekana ni ya sehemu nono ndio maana nimeangukia huku. Cz ukifanya interview utumishi wanakupanga popote. Inategemea na nyota yako kama ya shamba utaenda tuu.Kwa hiyo unalinganisha posta na halmashauri za wilaya za huko vijijini?
Salary scale yako ndogo sana kulinganisha na huku Tanroads,Boss Kwa huu mshahara ,naomba miaka 5 ... nitakuwa na mimi nawalipa watu mshahara.
We lima zako mahindi achana na ajirakwa hiyo mnata kutuaminisha kua kwa hiyo asali ya halmashauri ni ya nzi wa chooni..