Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Ndio nimekuuliza mtu kama wewe halmashauri unaweza kwenda ukakaa ukala hapo chakula cha elfu 4 na hushibi??? Maana nyie vyakula vyenu either pass ndefu au kuna vile vibanda umiza π€£IFM Kuna brela,chuo Cha utalii, chuo Cha Utumishi wa umma, wizara ya nishati na madini, Tanroads HQ,hazina vyote viko karibu,
Siku inzi akiacha ujinga mbona atatengeneza asali nzur tuuHahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,jobless WA nchi hii mna jeuri sana
Yaani asali ya halmashauri mnaniita asali ya nzi
Aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
1,600,000/-Boss kama umepangwa halmashauri ni wewe... Na ukishindwa tumia fursa ni wewe na akili zako za darasani... Huko vijijini kuna wadau ni matajiri huku mjini hakuna? Thn dhumuni la kuishi maisha ya amani ni kuwa financial freedom ... Unaweza kuishi bila kutegemea chanzo kimoja cha hela...mimi hata ningepangwa halmashauri ningeenda.. japo nyota yangu inaonekana ni ya sehemu nono ndio maana nimeangukia huku. Cz ukifanya interview utumishi wanakupanga popote. Inategemea na nyota yako kama ya shamba utaenda tuu.
Si ndio wewe unasema ndogo, ndio useme take home ni ngapi mpka isinitoshe... Na familia sina π€£1,600,000/-
Take home ni sh ngap mkuu?
Mbona unaweza acha hiyo kazi mkuu ukarud kwako tuuNadhani ni kwasababu mimi si mfuatiliaji sana wa jukwaa hili,ila laiti ningejua hali halisi ya Halmashauri nyingi,nisingekubali kuja huku.
Mimi sio kama ww, Mimi ni CPA, nafanya kazi zangu za pembeni za kihasibu nyingi sana, Mimi pia ni Tax Consultant nimesajiliwa na TRA,Ndio nimekuuliza mtu kama wewe halmashauri unaweza kwenda ukakaa ukala hapo chakula cha elfu 4 na hushibi??? Maana nyie vyakula vyenu either pass ndefu au kuna vile vibanda umiza π€£
Toa makololo yote, usiweke HELSB.1,600,000/-
Take home ni sh ngap mkuu?
Sawa mkuu.Mimi sio kama ww, Mimi ni CPA, nafanya kazi zangu za pembeni za kihasibu nyingi sana, Mimi pia ni Tax Consultant nimesajiliwa na TRA,
Kwa mwezi sikosi 1,800,000/- za kufanya tax consultant na Auditing,and advisory usidhani nategemea salary, kama hujui moja ya faida ya kufanya kazi halmashauri ni kuwa unakuwa sio bize Sana
Achana na hiyo kaz mkuu njoo tupige mishe misheKama una uhakika na mishe zako za huko mtaani,huku hapakufai. Ni kupotezeana tu muda. Katika maishi nimejifunza kusimamia na kukamilisha kile ulichokianza. Haya mambo ya kuhama leo huku unafanya jambo hili kesho kule unafanya jambo lile yanaturudisha sana nyuma.
Mshahara wa TA kabisa huuπ πJanuary sio mbali sana... Au nitascrenshot digits mbili za salary ..kutoka salary slip alafu uniambie halmashauri ya kijiji gani digits inaanza na 1,6..... π€£ .
Take home yako ni 1.05+m Bado ni ndogo na Wala sio ya kutupigia kelele sisi tulip kwenye mashirika ya ummaSi ndio wewe unasema ndogo, ndio useme take home ni ngapi mpka isinitoshe... Na familia sina π€£
CPA ni ngumu kuipata Ila ina hela kuliko hizo ITSawa mkuu.
CPA halmashauri tgs E1 entry levelSawa mkuu.
Ni kweli lakini wengine akili zetu haziko kwenye mshahara kama huyo jamaaCPA halmashauri tgs E1 entry level
Umeona anatudanganya huyummmhh lkn sasa mbona ww huach kaz au unatudanganya majobless??
Yani Nina Basic ya millioni na laki 6+. sina mkopo board.. ofisi ipo town, yani usipofunga dirisha unasikia sauti za honi za magari na brake. Alafu wewe wa Tgs D sijui E ..ile increment yako ya mwaka ...ifanye mara mbili ndio increment yangu ya mwaka.
Thn anatokea mtu anasema ooh ,sijui naniliu sijui nini[emoji1787], yani nipate beautifully salary ya hivi thn nilalamike..Si nitakuwa mwendawazimu.
Utaenda kufundishaHivi hii kozi yangu ya BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS haina hata matangazo ya ajira za kutengeneza mitego ya panya. Mbona nimepigwa na kitu kizito vibaya sana wajemeni.
ππππ Tetetete hebu utumishi mbadilishieni kituo huyu kijana mpelekeni halmashauri π€£π€£π€£Ndio nimekuuliza mtu kama wewe halmashauri unaweza kwenda ukakaa ukala hapo chakula cha elfu 4 na hushibi??? Maana nyie vyakula vyenu either pass ndefu au kuna vile vibanda umiza π€£
We jamaaa yani 1.65 M ...nipate Milioni na elfu hamsini... Hesabu umesoma wapi sheikh wangu ,π€£π€£Take home yako ni 1.05+m Bado ni ndogo na Wala sio ya kutupigia kelele sisi tulip kwenye mashirika ya umma
Hata Mimi namshangaa na anajisifu, humu Kuna watu wako EWURA wanamshangaa tu,we jamaa unachekesha watu aisee, hio basic yako take home itacheza kwenye 1.2M sasa kwa maelezo yako uko town hio ni pesa mbuzi tu...anza kazi kwanza uone uhalisia uache hio wenge.