BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Duh hizi kozi kweli?Fanya Postgraduate za fani za fedha(Insurance and Risk management, social protection na etc) kuna mtu alikuwa Mwalimu akatumia hiyo strategy na akafanikiwa sana.
Yes mwangu umeongea reality kaka,big upNaomba kuuliza ili uishi Atleast vizuri kidogo, unatakiwa Take home iwe angalau bei gani??
Yani mimi nisipokuwa don baada ya mwaka sijui 🤣...maana kituo changu cha kazi pale yani hapa napiga dua wasije nihamishe....Kwanza ni town ,pili kuna fursa yani ukifika tu mazingira ya pale nje unaona kabisa hawa wananchi wa hapa hawaoni fursa hapa....🤣.
Mimi mshahara ndio utakaonifanya nitoboe wakuu.. ndani ya mwaka nitakuwa nishajipata.
Yani naona kabisa , siwezi kosa gari la million 20. Ndani ya mwaka na nusu tena bila mkopo... Yani watu wa eneo lile nilipofika cz nili survey maana nimefika tu mimi nauliza nahitaji huduma fulani ...eti wananijibu sisi wote huwaga tunafata mjini ...Njieeee 🤣🤣 ,yani wananchi wa lile eneo wanakaa na fuko la hela thn wahalioni .
Yes mwangu umeongea reality kaka,big upNaomba kuuliza ili uishi Atleast vizuri kidogo, unatakiwa Take home iwe angalau bei gani??
Yani mimi nisipokuwa don baada ya mwaka sijui 🤣...maana kituo changu cha kazi pale yani hapa napiga dua wasije nihamishe....Kwanza ni town ,pili kuna fursa yani ukifika tu mazingira ya pale nje unaona kabisa hawa wananchi wa hapa hawaoni fursa hapa....🤣.
Mimi mshahara ndio utakaonifanya nitoboe wakuu.. ndani ya mwaka nitakuwa nishajipata.
Yani naona kabisa , siwezi kosa gari la million 20. Ndani ya mwaka na nusu tena bila mkopo... Yani watu wa eneo lile nilipofika cz nili survey maana nimefika tu mimi nauliza nahitaji huduma fulani ...eti wananijibu sisi wote huwaga tunafata mjini ...Njieeee 🤣🤣 ,yani wananchi wa lile eneo wanakaa na fuko la hela thn wahalioni .
Kaka Yan unaongea kilicho moyoni bila unafiki,big up kaka aisee n all the best ninja....ngoja sis tuishi Kwa matumaini tu Kwa kwel🤣🤣 COMMENT BORA SANA HII, wakuu pitia hali zote ila sio ujobless ...hata ndugu wanakutenga , washkaji hawapokei simu zako, mimi nitampa respect na kumsaidia mwanaume mwenzangu anaye hustlee na kumtia moyo cz naelewa jinsi nilipopita. Nilishwawahi ambiwa na ndugu yangu toka ukajitafute, uanze upya.... Hapo nahangaika na utumishi , 🤣🤣,.. Hahaha baada ya kusikia nimepata kazi kwenye mtaasisi daaah ile siku naenda kumuona anaangalia , pembeni... Nikamwambia maisha ndio yalivyo Hali ngumu haitadumu milele. Thn yeye yupo halmashauri tena alipataga enzi zile hakuna interview...
Alipokuja kuona salary scale alichoka...maana mshahara wangu wa mwezi mmoja yeye ataupata ndani ya miezi 3. Nikamwambia bro cool down... Yale yalishapita ...
Vijana tulieni tutawaita 2024.PSRS shusheni pdf la funga mwaka, kitaa njaa ni Kali Sana.
Mkuu kabla mwaka haujaisha washushe hapo angalau kuanzia tarehe 27 na kuendelea bado kuna gap refu hapoVijana tulieni tutawaita 2024.
- kwani hapo ulipopata kazi Kuna watumishi wangapi Wana mahari ya 250m?Nimesoma comments zenu ,ambao wamenielewa asante sana.
Ambao hawajanielewa mimi kupata kazi tu hata ningekuwa nalipwa TGS A yani hata ningelipwa laki 3. Mimi nilikuwa nataka Tobo la kutobolea... Basi... Mambo mengine ningeya seti mwenyewe.....
Naomba kuuliza si kuna darasa kibao , now ni matajiri na wanakila kitu kuliko mtu wa masters?? Elimu ya darasani tofauti na elimu ya mtaani. Wewe ona hiyo hela ya halmashauri ndogo, ila kaa nikwambie kuna watu walianza na mtaji nguvu sio mtaji pesa...
Huko Tanroads Hq, ukifika pale kuna wengine maisha yao ya kawaida tuu... Mtu hata Gari la Million 250, anashindwa nunua ,alafu unitishe etiii oooh kuna hela .Hivi nyie hela mnazijua kweli....
Alafu twende nikupeleke k,koo uone darasa la saba aliyemwajiri mtu na masters yake.... Maisha ni vile wewe unayachukulia .Mtu wa halmashauri anaweza aka shine kuliko huyo wa Tanroad cz maisha ni kuchagua na kuset standards zako na kuweka vipaumbele....
Leo hii , nenda kwenye jukwaa la biashara Eti mtu ana mtaji wa million 50 hajui afanye biashara gani, anauliza 🤣🤣..
Alafu kuna mtu anahitaji million 2 tu, atoboe mazima so Ubongo wako ndio utakaokufanya uone hela ndogo au kubwa...
Kuna mtu huko muda huu, hata hela ya kula hana, wewe unapata TGS ngapi unasema ndogo hivi nyie mbona shule imewafanya muwe na akili ndogo kiasi hicho..?.
Mimi kushangilia 1.3 M ...sio nafurahia mshahara mkubwa kiivyo, but nafurahia ndio Tayari nishajipata... Maana sawa nishindwe biashara ya 10 M, ya 20 M , basi tufanye ya 30 M.... Maana hiyo salary nakopea hadi 50+ M.....
Kuna mjinga atakuja una uhakika gani, hiyo biashara ita grow... Sasa mimi nahakika ya 100% lazima i grow... Wakuuu Mimi nimeshajipata ....Na ukiisha mwaka naomba uje unifananishe na rafiki yako wa TANROAD... ambaye kazidiwa maisha hadi na wajamaa tu darasa la saba..
Hata ningelipwa laki 3 ,ili mradi ya uhakika kila mwezi ,...basi ningekuwa nimejipata ....Nilivyokuwa jobless ndio nilikuwa naogopa maisha ila now wakuuu ...hakuna kitakachonitisha...hata leo waseme wanipeleke WAGING'OMBE HUKO ndani ,ndani ...ningetoboa tu cz hela zangu zipo mifukoni kwa watu. Na soon nitaanza kuwauzia bidhaa zangu humu na mtanunua tu... Mtake mtanunua ,msitake mtanunua.
Kijana tulia tupo mapumziko Hadi tarehe 4 January ndiyo tutarudi ofisin.Mkuu kabla mwaka haujaisha washushe hapo angalau kuanzia tarehe 27 na kuendelea bado kuna gap refu hapo
Ilikuwa sio security job ni kazi ambayo ulikuwa unalipwa according to target...- kwani hapo ulipopata kazi Kuna watumishi wangapi Wana mahari ya 250m?
-unasema ungelipwa hata laki3 ungejipata, mbona awali ulisema kuwa uliwahi kupata kazi ya laki4 na Bado ukawa unalalamika haikutoshi
-wenzio Tanroads Wana extraduty, transport, house,meal allowances wamekuzidi mbali sana,
- kwa mkopo wa 50m, utabaki na take home 350,000/-+ jipange
Pole sana, hili la kukosa washauri hiwa ni tatizo sana kwa baadhi ya watu.Nilipata div 2 ya 11 nikapata kairuki ada ikazingua si unaelewa? Nikachaguliwa computer and software engineering kwa kukosa washauri nikapiga chini nikaenda kwenye ualimu, Sasa napiga hesabu hapa nisome course nyingine au nichukue masters tu, changamoto hata ya masters kwenye halmashauri ni upuuzi tu.
Bora angepiga hata environmental health sciencesPole sana, hili la kukosa washauri hiwa ni tatizo sana kwa baadhi ya watu.
Hiyo Div 2 point 11 ungepata kozi nzuri sana MUHAS tena yenye mkopo 100%.
Boss unaogopa kuishi kwa 350,000/= ...huku una biashara ya 50 M ...?. Unajua principle za biashara wewe...- kwani hapo ulipopata kazi Kuna watumishi wangapi Wana mahari ya 250m?
-unasema ungelipwa hata laki3 ungejipata, mbona awali ulisema kuwa uliwahi kupata kazi ya laki4 na Bado ukawa unalalamika haikutoshi
-wenzio Tanroads Wana extraduty, transport, house,meal allowances wamekuzidi mbali sana,
- kwa mkopo wa 50m, utabaki na take home 350,000/-+ jipange
Ni ngapi mkuu,,, maana nataka nifanye mpango nihamie huko alaf hawa EWURA kazi zao mjini tu nahisi wahandisi wakule wanakula mema ya nchi sana.Unaita viposho? Hivi unajua Extra duty ya officer wa EWURA?
Ilikuwa sio security job ni kazi ambayo ulikuwa unalipwa according to target...
Wewe umekaa umekaza ubongo tanroad mbona wewe huendi tanroad🤣🤣
Mshahara mikubwa wanayo wabunge tuu nchi hii... Wee umekaa tanroads ,sijui tanroad.. kuna watu huko wanalipwa hadi M30 per month wewe umekalia tanroad wakati take home haifiki hata 5 M permonth... Eti sijui posho ma safari... Mfano;- Diamond tu darasa la saba sijui , form six niambie hawalipi hao tanroad ...basi sawa diamond labda yule celebrity nenda masaki ,oysterbay, kule usuani kwenyewe mbona tanroad hawakai kule??? Anaweza nunua kiwanja hata cha million 500 ?? Na huo mshahara? 🤣🤣 Hii nchi huyo tanroad anazidiwa hata na Mkurugenzi wa halmashauri alafu unasema wana hela hivi ,nyie hizo chai mnazopewa zitawaunguza
Kwa hiyo ww unajua biashara kuliko CPA? ingekua rahisi si hata ww ungejikita kwenye biashara badala ya kutegemea ajira ya serikali ikutoe?Boss unaogopa kuishi kwa 350,000/= ...huku una biashara ya 50 M ...?. Unajua principle za biashara wewe...
Chukua 25 weka , mzigo kwenye biashara sikilizia miezi 6... Thn baada ya hapo hiyo biashara ikishindwa kukupa faidia ya laki 5 kwa mwezi Mkuu... Wewe akili ya biashara huna...
Hiyo 25 iliyobakia kaweke greebond Crdb baada ya miak 5. Unachukua Millio 50.... Ikifika mitano ichukue 50 iweke tena green bond baada ya miaka 5 una million 100..net .
Wakati huku unapata faidia ya laki 5... Tuseme basi upate laki 4... Kwa mwezi ..jumlisha na 350,000/= yako bado unashindwa ishi na take home ya laki 7 na 50... 🤣🤣 Ila kuishi na unobless unaweza daaah hii nchi ina vijana vichwa maji sana
-haya take risk uwe tajiri,Yani ukiogopa Risk , ndio maana masikini wengi kuliko matajiri... Leo mwambie jobless hama mkoa wako labda Dar nenda katafute maisha Mwanza aaaahhh kubabake atakupigia Risk hizoooo....
Wakati ana mtaji wa elimu, alafu kuna watu walitoka vijijini huko kuja mjini hapa kwa kudandia malori na leo ndio madon wa jiji....🤣.
Wasomi wa hii nchi vichefu chefu...Asilimia kubwa humu maisha ya kwetu wazazi hawakuwa watumishi wa serikali ...yani walikuwa wajasiriamali na unga unga mwana , bi mkubwa kauza mkaa ,mara kauza mandazi... Mzee mara kalima ,mara kaenda huku na huko... Na tukaishi...leo una mtaji na unaogopa maisha ...Wewe una kazi na unaogopa... Eti hela ndogo 🤣🤣 sasa nakuuliza wewe na boda boda nani anatakiwa alalamike yani kuna watumishi wana maisha ya ajabu hata boda boda haishi hivyo, yani yeye ndio anaenda mkopa boda....
Wazungu manina zenu,kutuletea shule ... Mmetufundisha maisha ya kuogopa kesho ,wakati hata hatuijui kesho yenyewe ipoje.
Kama CPA ndio nakuwa kama wewe hiyo ,CPA siitaki aisee.... Yani niogope kukatwa 850,000? ...mbona nilikuwa jobless sikatwi lakini joto ya jiwe niliiona...Kwa hiyo ww unajua biashara kuliko CPA? ingekua rahisi si hata ww ungejikita kwenye biashara badala ya kutegemea ajira ya serikali ikutoe?
-mkopo wa 50m utakatwa 850,000/- for, hivyo kwenye Hesabu zako toa 850,000/-