[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vijana tulieni tutawaita 2024.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vijana tulieni tutawaita 2024.
Wako vizuri engineers Sana mkuuNi
Ni ngapi mkuu,,, maana nataka nifanye mpango nihamie huko alaf hawa EWURA kazi zao mjini tu nahisi wahandisi wakule wanakula mema ya nchi sana.
Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.Pole sana, hili la kukosa washauri hiwa ni tatizo sana kwa baadhi ya watu.
Hiyo Div 2 point 11 ungepata kozi nzuri sana MUHAS tena yenye mkopo 100%.
Kwa hiyo kwenye ujobless wako ulikuwa hupati hela? Mimi Niko na CPA yangu nilikuwa nimejiajiri kama Tax Consultant,nasajili makampuni nkpesa ilikuwa inaingiaKama CPA ndio nakuwa kama wewe hiyo ,CPA siitaki aisee.... Yani niogope kukatwa 850,000? ...mbona nilikuwa jobless sikatwi lakini joto ya jiwe niliiona...
Mimi kwa hilo bora nife masikini lakini siwezi kuogopa kutake risk hiyo..
Kasome historia tu ya vunja Bei ...ali take risk kama hizo ... Na ndio maana kwenye watumishi 100 basi watatokea tu 30 watakuwa masikini saaanaaaa....wengine 30 watakuwa wanajiwezaaa saanaaa...alafu 30 watakuwa maisha ya kawaida...-haya take risk uwe tajiri,
Kasema hakuwa na mshauri, ishu ya kukimbizana na mkopo pia ilimsukuma kwenda ualimu, kumbuka ndio familia zetu za vijijini. Mtu ukipata boom linakuwa linahudumia hadi nyumbani.Bora angepiga hata environmental health sciences
So sad angechagua Land survey, land valuation,au engineeringKukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
- inaonekana unapenda sana TanroadsIlikuwa sio security job ni kazi ambayo ulikuwa unalipwa according to target...
Wewe umekaa umekaza ubongo tanroad mbona wewe huendi tanroad🤣🤣
Mshahara mikubwa wanayo wabunge tuu nchi hii... Wee umekaa tanroads ,sijui tanroad.. kuna watu huko wanalipwa hadi M30 per month wewe umekalia tanroad wakati take home haifiki hata 5 M permonth... Eti sijui posho ma safari... Mfano;- Diamond tu darasa la saba sijui , form six niambie hawalipi hao tanroad ...basi sawa diamond labda yule celebrity nenda masaki ,oysterbay, kule usuani kwenyewe mbona tanroad hawakai kule??? Anaweza nunua kiwanja hata cha million 500 ?? Na huo mshahara? 🤣🤣 Hii nchi huyo tanroad anazidiwa hata na Mkurugenzi wa halmashauri alafu unasema wana hela hivi ,nyie hizo chai mnazopewa zitawaunguza
Duuhh, hapo msala unaanzia sasa hivi anapokimbizana na ule ufaulu ili uweze kuendelea kupata hiyo scholarship.Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
Miaka hii sio ya kukimbilia ualimu kabisa bora angesoma kozi za maana.Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
Kaingia cha kike bora angesoma kozi ya afya, kajichanga kwelikweliMiaka hii sio ya kukimbilia ualimu kabisa bora angesoma kozi za maana.
Walimu nao siku hizi wanasota kitaa bora enzi za JK walikuwa na uhakika wa ajira.
AJIRA B.O.TView attachment www.ajiranasi.com-BOT-new-Vacancies.pdfKaingia cha kike bora angesoma kozi ya afya, kajichanga kwelikweli
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yes Jamaa yupo mfuko mmoja hivi maisha si haba, kuna wakati wa kusota ndugu yangu ila ukipata umepata.Duh hizi kozi kweli?
Mkuu profile yako ni kubwa sana,kujibishana na hako katoto ndio maana unakaona mara Diamond mara nini? Ni kashamba tuu hebu kavungie kakishapata salary tatu kataona kabisa ni katupu mnoo, kana ujinga na utoto mwingi baada ya muda katakuja ku delete huu uandishi wake wa ujivuni, na huyu dogo si ajabu ni yule alikuwa anabishana na ITpersonel kwa huu muandiko.Kwa hiyo kwenye ujobless wako ulikuwa hupati hela? Mimi Niko na CPA yangu nilikuwa nimejiajiri kama Tax Consultant,nasajili makampuni nkpesa ilikuwa inaingia
Huyu dogo nimemdharau sanaKumbe ni wewe mpiga ramri wetu.
It personel = utumishi wako fair.
View attachment 2853217View attachment 2853218
huyu ndio ITpersonel sasa wala sio yule mwingineMkuu profile yako ni kubwa sana,kujibishana na hako katoto ndio maana unakaona mara Diamond mara nini? Ni kashamba tuu hebu kavungie kakishapata salary tatu kataona kabisa ni katupu mnoo, kana ujinga na utoto mwingi baada ya muda katakuja ku delete huu uandishi wake wa ujivuni, na huyu dogo si ajabu ni yule alikuwa anabishana na ITpersonel kwa huu muandiko.
Nimeligundua hilo, it's a shame such a little guy has become numb and nutty.huyu ndio ITpersonel sasa wala sio yule mwingine