Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pole sana, hili la kukosa washauri hiwa ni tatizo sana kwa baadhi ya watu.

Hiyo Div 2 point 11 ungepata kozi nzuri sana MUHAS tena yenye mkopo 100%.
Kukosa washauri, ujuaji mwingi na kuangalia boom kuna wapotozea watu wengi malengo na kujikuta wanahangaika badae. Mfano kuna dogo kapata DIV 1 ya 6 PCM kaacha kusoma course za engineering kakimbilia ualimu wa physics na math kisa kapata Samia scholarship na chuo kachaguliwa UD.
 
Kama CPA ndio nakuwa kama wewe hiyo ,CPA siitaki aisee.... Yani niogope kukatwa 850,000? ...mbona nilikuwa jobless sikatwi lakini joto ya jiwe niliiona...

Mimi kwa hilo bora nife masikini lakini siwezi kuogopa kutake risk hiyo..
Kwa hiyo kwenye ujobless wako ulikuwa hupati hela? Mimi Niko na CPA yangu nilikuwa nimejiajiri kama Tax Consultant,nasajili makampuni nkpesa ilikuwa inaingia
 
-haya take risk uwe tajiri,
Kasome historia tu ya vunja Bei ...ali take risk kama hizo ... Na ndio maana kwenye watumishi 100 basi watatokea tu 30 watakuwa masikini saaanaaaa....wengine 30 watakuwa wanajiwezaaa saanaaa...alafu 30 watakuwa maisha ya kawaida...

Thn mimi risk nishatake since nipo chuo, na nilikuwa najua hii risk iki fail basi ,mimi narudia mwaka ...but nilitake risk na nikatoboa.... Nitakuja kuelezea historia yangu na evidence nafikiri itawatia watu moyo kuendelea kupambana... Since naanza chuo na kuwa mtafutaji hadi nakula kitengo.
 
So sad angechagua Land survey, land valuation,au engineering
 
- inaonekana unapenda sana Tanroads
 
Duuhh, hapo msala unaanzia sasa hivi anapokimbizana na ule ufaulu ili uweze kuendelea kupata hiyo scholarship.

HESLB walimnyima boom hadi akimbilie Samia Scholarship?
 
Miaka hii sio ya kukimbilia ualimu kabisa bora angesoma kozi za maana.

Walimu nao siku hizi wanasota kitaa bora enzi za JK walikuwa na uhakika wa ajira.
 
Kwa hiyo kwenye ujobless wako ulikuwa hupati hela? Mimi Niko na CPA yangu nilikuwa nimejiajiri kama Tax Consultant,nasajili makampuni nkpesa ilikuwa inaingia
Mkuu profile yako ni kubwa sana,kujibishana na hako katoto ndio maana unakaona mara Diamond mara nini? Ni kashamba tuu hebu kavungie kakishapata salary tatu kataona kabisa ni katupu mnoo, kana ujinga na utoto mwingi baada ya muda katakuja ku delete huu uandishi wake wa ujivuni, na huyu dogo si ajabu ni yule alikuwa anabishana na ITpersonel kwa huu muandiko.
 
Kumbe ni wewe mpiga ramri wetu.
It personel = utumishi wako fair.
View attachment 2853217View attachment 2853218
Huyu dogo nimemdharau sana
Jinga kabisa hili
Yaani ujinga anaoandika sasa hivi ni as if ni zoba flani mbugila asiye na elimu kabisa ,halafu ndio anajikuta na GPA 4.1 ,eti huyu naye msomi .
Kuna elimu na kwenda shule kukariri makaratasi ,huyu yupo catergory ya pili
Aisee hii nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huyu ndio ITpersonel sasa wala sio yule mwingine
 
Wakuu naona mnahasira sana 🤣, tulieni kila mtu atapata ajira... Mchawi usikate tamaa., Hata kama upo halmashauri usiogope cz haujui kesho yako, unaweza ukaanzia halmashauri ila mwisho wa siku unakuwa sehemu kubwa ambayo hata hukuwa umewazia...

Swala la ridhki anapanga Mungu, sisi hatuna uwezo wa kujipangia, zaidi ya kujikadiria tu. Mifano ipo mingi watu walianzia chini na sasa wapo juu.

So wanangu msijari, Kila mtu atapata kazi... January Kuna mikeka kibao ..serikali ina uhaba wa watumishi so cool...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…