Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Assistant Lecturer ulikosa?
 
Kama tayari upo kazini soma kozi hizi utanishukuru baadae
1. Account
2. Procurement
3. Public health
4. Wathamini- kozi yao sijui inaitwaje
Hizo tatu za kwanza hata ukibaki halmashauri hufi njaa.
 
Kama tayari upo kazini soma kozi hizi utanishukuru baadae
1. Account
2. Procurement
3. Public health
4. Wathamini- kozi yao sijui inaitwaje
Hizo tatu za kwanza hata ukibaki halmashauri hufi njaa.
Land management and valuation, hiyo ndio the Best na maafisa ardhi wengi wamesomea hiyo.
 
Humu ndani tunakinzana mawazo kwa sababu ya mitazamo...

Wakati Mimi wakati naanza hustling za kufanya interview ,target yangu ilikuwa ni kutafuta kianzio ili niweze kuwa na kipato cha uhakika kwa mwezi kiniwezeshe kufanya biashara zangu... Ambacho mtaji ni huo mshahara.

Ila wengi mawazo yenu yalikuwa mpate sehemu yenye mishahara minono na mazaga zaga.... ( So hapo lazima tutofautiane mitazamo).
--------------------------
So regardless kazi ningepata wapi nilikuwa nimejiandaa kwa hilo, .

Huko vijijini mnapowaongopea watu sijui halmashauri maisha magumu... Maisha sio magumu ila akili zenu ndio ngumu...

madon wote wa huko ni Almost darasa la saba ,yani shule ndogo hata kama sio darasa la saba.... Ila hao hao darasa la saba wanamtoa BRANCH MANAGER WA BANK OFFCN WANAKUJA KUMTEMBELEA .🤣
kama unabisha uliza huko madon wakina nani ,alafu ukae utege uone watu wa Bank wanaenda kum visit ... Na sio kama lakopa
...la hasha wanaenda kujenga nae mahusiano tu mazuri kwa sababu ya hela zake.

maisha ni kuchagua, leo hii kuna watu wanajazana ujinga eti ooh hadi Million 2 take home bado hela ndogo ,sababu mshahara ukiwa mkubwa na matumizi yanakuwa makubwa ....Ni kwa ujinga wako.

Brother kama halmashauri pagumu, acha hiyo kazi, Msomi wa degree umekaa unashindwa kujiongeza wakati una security job.
 
Bato linaendelea😂😂
 
Wanalipa kwenye Halmashauri zote mkuu inategemea tu wewe ni mtu wa Kada gani

Ni kweli entry level bachelor's wengi halmashauri wanaanzia TGS D na TGS E, ila wengine tumeanza na TGS E kwenye 1.3M

Naongelea Veterinary medicine
Mkuu itabidi jobless Mimi nikae n wewe vizuri tupeane hzo fursa
 
Mkuu itabidi jobless Mimi nikae n wewe vizuri tupeane hzo fursa
Karibu boss Njoo nikupe madini na fursa za biashara.....

Cha kwanza kwenye biashara unatakiwa ujue hela zako zipo mifukoni kwa watu.

Pili unatakiwa ujue unahitaji kufanya biashara gani na kwann?? Yani kwann hiyo biashara.

Tatu: Je kiasi gani kitatosha kuanzisha biashara yako.

Nne: Je nani atakuwa msimamizi wa biashara yako / wewe mwenyewe au mtu mwengine ( mfano: upo mkoa A ..biashara ipo mkoa B. etc).

Tano: Malengo yako kwenye hiyo biashara ni nini.?. Mfano ikuwe iwe matawi au biashara ihudumie mahitaji fulani fulani etc. Karibu
 
Mkuu wangu ,Kuna mtu humu ana CPA lakini ajabu yupo halmashauri huko, ya Waging'ombe na anaiponda 🤣🤣..wakati wenzie wapo sijui NBAA sijui Board ya wahasibu sijui board gani... Sasa wewe mtu huyo unamuona yupo sawa kiakili.
-inaonekana una uelewa mdogo Sana, japo unasema una 4.1gpa
-nbaa ndio bodi ya uhasibu na kila mwenye CPA Tanzania hii amepewa hiyo CPA na hiyo bodi, hivyo hiyo kauli ya kusema "wakati wenzie wapo sijui NBAA" ni kauli ya hovyo na ya kijinga
  • CPA usilinganishe na hiyo Kozi Yako ya computer,
  • Mimi nishkwambia sio Level yako mimi ni Tax Consultant, Advisor,Auditor, Supervisor sitegemei salary, nasajili makampuni, nk Kama Ww kwa sababu nafanya kazi zangu binafsi na za serikali hata kabla ya Kuajiriwa, sio Kama wewe umepata kazi ndio unawaza kuoa tafsiri yake hukuwa na uwezo hata wa kupata Milioni 1 kabla ya ajira.
 
Watu wa Hospitali Mirembe wawahi upesi kuna mgonjwa anahitaji kufunguliwa folder. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mambo ya Masikini haya 🤣🤣, hata mimi wakati sijajipata nilikuwa kama wewe.... Nahasira na waliojipata bila sababu... So relax wakati wako utafika, hata kama upo halmashauri unaweza toboa legeza Bichwa hilo sheikh..maisha sio magumu ,wewe ndio mgumu.

##Utumishiwakofair.
 
CPA ya kuunga hiyo, twende nikuonyeshe CPA wenzako walivyo, SIPIEI gani Unashinda JAMII FORUM NA JOBLESS KWENYE JUKWAA LA AJIRA (UTUMISHI WANACHELEWESHA PLACEMENT).. 🤣🤣
Sasa kama mtu mpaka una CPA bado unalalamika halmashauri hali ngumu .... Si uache kazi🤣, uone mtaani kuna rangi gani, yani ukifanya kazi zako kwa mwezi una 1.8M hukosi... Huoni ukiacha utakuwa na muda zaidi hiyo 1.8 M unaeza pata hata 3 M permonth??

Mnawajaza watu ujinga,eti oohh halmashauri sijui naacha , Achaaaaa ,susaaaaa .... Watu wapo kibao wa kuja kufanya kazi huko, susa alafu uone kama utapata tena kazi...na SIPIEI yako ya Open university hiyo.
 
Kwa hiyo umeona wivu kwa sababu natengeneza kipato Cha pembeni kabla na baada ya ajira?
Halafu kuonesha jinsi ulivyo mbumbumbu unasema CPA ya Open university, Chuo Cha OPEN hawatoi CPA, wanaotoa CPA ni NBAA, tumia Google vizuri, halafu unasema wewe ni mtaalam wa IT hovyo kabisa
 
Mimi nipate 1.8 M... thn niendelee kutumia muda wangu halmashauri... Unalipwa sijui laki 5 sijui 6
..... Sasa ukitaka kujijua kuwa hamnazo, unaona huo muda mchache unaotumia unatengeza 1.8 M... Huoni ukiacha kazi ukatumia full time unaweza pata 3M???

Hiyo CPA yako nipe mimi alafu uone kama nitakaa huko halmashauri nikawa napiga kelele mshahara hautoshi.... Una 1.8 M pembeni kila mwezi + laki tano...unapata jumla 2.3 per month ...bado unalalamika maisha magumu, Bro Utakufa kifo kibaya sanaaa...kwa tamaa.

Maana kwa salary hiyo mwisho wa mwezi na unapiga kelele ndogo, basi unapoelekea utauponza usichana wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…