Humu ndani tunakinzana mawazo kwa sababu ya mitazamo...
Wakati Mimi wakati naanza hustling za kufanya interview ,target yangu ilikuwa ni kutafuta kianzio ili niweze kuwa na kipato cha uhakika kwa mwezi kiniwezeshe kufanya biashara zangu... Ambacho mtaji ni huo mshahara.
Ila wengi mawazo yenu yalikuwa mpate sehemu yenye mishahara minono na mazaga zaga.... ( So hapo lazima tutofautiane mitazamo).
--------------------------
So regardless kazi ningepata wapi nilikuwa nimejiandaa kwa hilo, .
Huko vijijini mnapowaongopea watu sijui halmashauri maisha magumu... Maisha sio magumu ila akili zenu ndio ngumu...
madon wote wa huko ni Almost darasa la saba ,yani shule ndogo hata kama sio darasa la saba.... Ila hao hao darasa la saba wanamtoa BRANCH MANAGER WA BANK OFFCN WANAKUJA KUMTEMBELEA .🤣
kama unabisha uliza huko madon wakina nani ,alafu ukae utege uone watu wa Bank wanaenda kum visit ... Na sio kama lakopa
...la hasha wanaenda kujenga nae mahusiano tu mazuri kwa sababu ya hela zake.
maisha ni kuchagua, leo hii kuna watu wanajazana ujinga eti ooh hadi Million 2 take home bado hela ndogo ,sababu mshahara ukiwa mkubwa na matumizi yanakuwa makubwa ....Ni kwa ujinga wako.
Brother kama halmashauri pagumu, acha hiyo kazi, Msomi wa degree umekaa unashindwa kujiongeza wakati una security job.