BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- huijui halmashauri, halmashauri nyingi haziko bize ndio maana tunapata muda wa kufanya hizo kazi za Pembeni, unaingia kazini unazuga masaa mawili/matatu halafu unaenda kupiga kazi binafsi, Tena ukikutana na head ambaye Yuko peace mbona Safi tuMimi nipate 1.8 M... thn niendelee kutumia muda wangu halmashauri... Unalipwa sijui laki 5 sijui 6
..... Sasa ukitaka kujijua kuwa hamnazo, unaona huo muda mchache unaotumia unatengeza 1.8 M... Huoni ukiacha kazi ukatumia full time unaweza pata 3M???
Hiyo CPA yako nipe mimi alafu uone kama nitakaa huko halmashauri nikawa napiga kelele mshahara hautoshi.... Una 1.8 M pembeni kila mwezi + laki tano...unapata jumla 2.3 per month ...bado unalalamika maisha magumu, Bro Utakufa kifo kibaya sanaaa...kwa tamaa.
Maana kwa salary hiyo mwisho wa mwezi na unapiga kelele ndogo, basi unapoelekea utauponza usichana wako.
-take home yangu ni not less than 750, nikichanganya na mapato ya pembeni Nina more than 2.5m+ na nazidi kutanua wigo wa kupata wateja
- Huwezi Kupewa CPA hii ni taaluma nyeti Sana sio Kama hizo computer mnazosoma vyuoni,