Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi nipate 1.8 M... thn niendelee kutumia muda wangu halmashauri... Unalipwa sijui laki 5 sijui 6
..... Sasa ukitaka kujijua kuwa hamnazo, unaona huo muda mchache unaotumia unatengeza 1.8 M... Huoni ukiacha kazi ukatumia full time unaweza pata 3M???

Hiyo CPA yako nipe mimi alafu uone kama nitakaa huko halmashauri nikawa napiga kelele mshahara hautoshi.... Una 1.8 M pembeni kila mwezi + laki tano...unapata jumla 2.3 per month ...bado unalalamika maisha magumu, Bro Utakufa kifo kibaya sanaaa...kwa tamaa.

Maana kwa salary hiyo mwisho wa mwezi na unapiga kelele ndogo, basi unapoelekea utauponza usichana wako.
- huijui halmashauri, halmashauri nyingi haziko bize ndio maana tunapata muda wa kufanya hizo kazi za Pembeni, unaingia kazini unazuga masaa mawili/matatu halafu unaenda kupiga kazi binafsi, Tena ukikutana na head ambaye Yuko peace mbona Safi tu
-take home yangu ni not less than 750, nikichanganya na mapato ya pembeni Nina more than 2.5m+ na nazidi kutanua wigo wa kupata wateja
- Huwezi Kupewa CPA hii ni taaluma nyeti Sana sio Kama hizo computer mnazosoma vyuoni,
 
Ilitoka lini hii taarifa?
Mkuu usiwasikilize hawa watu yani ni waongo waongo balaa, yani mtu anakaa kashiba makande anaamua tu kuandika utumbo, Bora wewe umeuliza akupe source 🤣🤣...yani wakaa vijiweni huko hawana kazi ,wanatunga story humu.
 
-wewe mwenyewe uko kijiweni huna ajira, wala huna kipato unasubiri uripoti kwa muajiri ndio upate pesa
 
Kama kuna mtu anayeumia huku kwa bandiko zako basi atakuwa akili hana! Ila unajichoresha sana mkuu kazi kila siku watu wanapata ila hawapigi kelele kama zako! Anyway me naenjoy ninachokiona humu[emoji23][emoji23]
Huyu ni mshamba sana kwakweli, yaani mpaka aibu naona mimi watu wapo vitengo vizito humu wanamzoom tuu na ushamba wake.
 
Humu wamepita watu tofauti tofauti, lakini huyu ......wako fair ni kichwa maji na hajapata ajira, maana serikali inajiheshim haiwez kuajiri hii zero
Anaruka tikitaka na msuli nyeti zipo nje watu wanamstua yeye kakaza fuvu eti kamillioni kamemtoa ufahamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Huyu ni mshamba sana kwakweli, yaani mpaka aibu naona mimi watu wapo vitengo vizito humu wanamzoom tuu na ushamba wake.
Mshamba ni wewe unayejibu brother .... Unajibu kivuli.

Yani mimi naandika nachojisikia na wewe unajaa.... Maana huna uhakika kama nimepata kazi kweli au laaa...Maana ushahidi huna ila wewe umeivaa ngoma na unacheza...kama sio uwendawazimu ni niaje???
 
Yani humu watu roho zinawauma sanaaaa ...Mnooo, sasa nawaahidi Nita screenshoot salary slip ili roho zizidi kuwauma .... Na nimewachora tuuu yani , Take home ya 2.1 Million... Ikitoka salary slip lazima nitume humu ili tuheshimiane ....Wadudu nyie. Ili muende mkaroge🤣
 
Mimi sijawahi ishika 2.1 brother angu... Ngoja nikituma salary slip utaona how many digits zilivyo.... Zinavutia.

Nina tender ya kusupply tani 45 za raw material xxx kila mwezi kiwanda fulani hivi na zina nipa 7M net profit mdogo wangu, tulia mdogo wangu watu wana mawe humu haugusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlikuwa mnadanganyana chuo eti ooh G.P.A sio kitu...Boss kuna Taasisi zinasema kabisa tupe wenye GPA kuanzia fulani... Sasa wewe una G.P.A yako sijui lower class unataka uje huku kwenye mahesabu ...si utatuibia malengo mdudu wewe...kama G.P.A yako tu umeshindwa itengeneza
 
Acha ushamba mlugaluga wewe.
 
Back
Top Bottom