Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kabla sijaendelea PART 2.

1. Jitahidi kwanza kwenye hustle zako za kutafuta ajira serikalini kwanza usiwe na moyo mwepesi wa ku give up mapema.... Cz kuna moments za kukatishwa tamaa yani siku umeenda umepiga paper fresh...maybe umepata 71 wenyewe wanachukua 72... etc so ukiwa na roho nyepesi unaweza kusema hutaki tena... Hizo situation watu wamepitia sana.

2. Lower your Expectation:
Usiwe na matumaini makubwa sana kusema lazima hii nifauru ,nooo utakuja pata vidonda vya tumbo...wewe fanya tu ukipata ni kheri ,ukikosa unakuwa umejifunza...

3. Usitangaze:- kutangaza kwa watu inakuwa kwanza kama una work under pressure cz unasema niki fail nitawaambia nini au nitaonekana sijui ....pia watu wengine wana roho mbaya hawataki mtu apate (hasa wabongo).

4. Nenda na mawazo yako, yani usikubali mtu akupangie au akuambie fanya hivi...wewe jiamini wewe kama wewe yale ni maisha yako...

5. Ukimtanguliza Mungu kila kitu kinawezekana.....

See you ....Itaendelea sehemu ya pili... Interview yangu ya pili ilikuwaje?? Je ndio hii iliyonipa kazi ???
 
Wewe jamaa humu jukwaani hutakiwi
 
Kada gani na taasisi ipi?
 
Daaaaaaah Mkuu punguza matusi, achana naye Boss wetu mpya aeleze tu furaha yake.
Mimi naomba mkeka unaokuja uje na majina hata ya watu wa 5 humu, wanaonitukana thn wa feel ile feeling ya kuwa mtumishi wa umma.... Wazee kuna watu huko wanatusema na kutuongelea vibaya, na hawataki tutoboe na wengine ni ndugu zetu kabisa.... So mimi naomba watu wale asali boss....hata mtu akila ya halmashauri tambaaa kule mtaani hawajui halmashauri sijui njaa wao wanajua ukipata umetoboa....

Kuna mademu walitusaliti kisa hatujajipata , na wana kibao wakatukatia mawasiliano... Yani sisi ndio wa kujipendekeza kwao....

Wakuu PDF LINALOKUJA NAOMBA NA WEWE JINA LAKO LIWEPO MKUU, ✍️✍️.

Mimi siwezi ombea mwenzangu asipate au aendelee kupitia msoto ..cz nilipita hiyo hali na naelewa ...Tena naomba mpate taasisi nzuri cz najua wengine mnafamilia kubwa wanasubiria wewe ndio upige teke kopo la kombolela uwagomboe wenzakooo....

Mwalimu wangu wa chuo ,alisema tunaishi maisha ya wengine....Yani leo ww hata huo mshahara mkubwa ukipata sio wako kwa ajiri ya familia yako wewe utatumia kidogo tu sana....✌️....So wanangu nawaombea PDF lijalo muwepo, Vitengo Vinono...✅
 
GPA inatangazwa kabisa kwwny tangazo na mitihani ya pale ni timing ,hata interview zote ni technique unaweza kushindwa pamoja na GPA kubwa .

GPA kama ni added advantage mnaweza kufungana na anatakiwa mmoja basi wataangalia GPA .
 
GPA inatangazwa kabisa kwwny tangazo na mitihani ya pale ni timing ,hata interview zote ni technique unaweza kushindwa pamoja na GPA kubwa .

GPA kama ni added advantage mnaweza kufungana na anatakiwa mmoja basi wataangalia GPA .
Ni kweli kabisa ndugu yangu, na hata wanaofail Interview sio kama hawajui...wengi ni wataalamu kweli kweli ila huwaga inatokea tuuu... Na kuna watu wamepata kazi hata vitu hawajui ni vile tu wameotea siku hiyo walichokuwa wanakijua ndio kimetoka...So sometimes ni game ya bahati...nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 kaka
 
Mimi nimefanya na watu weny GPA Kubwa ila wamedunda , wengi hawakumaliza maswali ilikuwa mara yao ya kwanza .

Ujinga wa utumishi mtu hata aww hovyo akishaingia kweny system sio mwenzio tena maana kuacha kazi sio rahisi labda atake...Unaweza kumuona mtu kilaza akaotea interview ndio basi tena kashapita.

Maofisini wapo kibao na wanaishi .
 
Ndio ni kweli kabisa kaka, unayosema
 
Mkuu mimi ni ICT SECURITY OFFICER....Mtaalamu mbobevu wa usalama wa mifumo ya computer , karibu.
Nyie wazee wa mjini maana hizo kada zenu ndio maendeleo ya sasa ,kutwa ajira zinatoka ..

Hongera kijana ! Kazi ni heshima kama umeridhia ... Taratibu akili itakuwa zaidi unaweza kuchambua mambo baadae ukaomba kuhamia taasisi nyingine ukiona mshahara umechoka ukipata nafasi huko.
.
 
Acha. Janja janja wewe sema It mara sijui security siasa mzee wa utumishi hiyo security kwio
Amna kitu inaitwa IT mkuu🤣🤣, IT maana yake information Technology... Sasa Hakuna hicho cheo Kaka. Kule offcn either ni Dababase administator, network engineer, System analyst, ict security offficer ... Ika nyie Ndio mnaita IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…