captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Kwa izo tarehe liwe pdf la supriseWatoe tarehe 30 hivi na 31
Amina..tunayo imaniUshauri wangu ,kwako ambaye umejiona umekata tamaaaa..... Mkuu amka, nyanyuka wewe ni mshindi ...usikubali kukatika tamaa mapema sana hivyo... Hakuna hali ngumu inayodumu milele [emoji123]...kama una sali sanaa, ombaa sanaa kwa Mungu yatapita tu hayo ,na utapata... MWAKA 2024 UKAWE WA MIUJIZA KWAKO.
Cku za PDF ni jtano,alhamis na ijumaaKwa izo tarehe liwe pdf la suprise
Kabisa mm ni shahidi ila nipo NGO.Ushauri wangu ,kwako ambaye umejiona umekata tamaaaa..... Mkuu amka, nyanyuka wewe ni mshindi ...usikubali kukatika tamaa mapema sana hivyo... Hakuna hali ngumu inayodumu milele 💪...kama una sali sanaa, ombaa sanaa kwa Mungu yatapita tu hayo ,na utapata... MWAKA 2024 UKAWE WA MIUJIZA KWAKO.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kamesha tujambia humu kanakuja kujikosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IT wetu hana baya anasema soon mtacheka..........Alitoe mwaka huu huu, 2024 itukute masjala ya wazi, tutoe shuhuda mwaka huu huu
🤣🤣🤣Daah!!Akaushe 😂😂😂
Mkuu sio kukujambia, ila nakwambia ukweli...Kama huna kazi mimi nakuomba hata leo upate kazi... Cz nimepitia situation ya ujobless .... najua zile dharau tumepitia... So sihitaji mwanaume mwenzangu apite huko.... Mungu awasaidie hichi kikombe kama mimi nilivyopita na wewe na wengine wapite .... Ujobless unatweza Utu. Mtu na degree yako inafika sometimes unakosa hata ile 10 nyekundu mfukoni....Kamesha tujambia humu kanakuja kujikosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.Mkuu sio kukujambia, ila nakwambia ukweli...Kama huna kazi mimi nakuomba hata leo upate kazi... Cz nimepitia situation ya ujobless .... najua zile dharau tumepitia... So sihitaji mwanaume mwenzangu apite huko.... Mungu awasaidie hichi kikombe kama mimi nilivyopita na wewe na wengine wapite .... Ujobless unatweza Utu. Mtu na degree yako inafika sometimes unakosa hata ile 10 nyekundu mfukoni....
Nyie nitukaneni ,ila mimi nawaombea hata muda huu mkeka utoke mchomoke wote . Zile stress sio tunakuwa kama nusu machizi.. kila siku wenzako wanajipata wewe tu ndio unakosa.
Utumishi wa umma kwenu huko, ...Kawaambie familia yako...wewe kuwa mtumishi wa umma ...Mimi inanisaidia nini?? Utauponza...Mimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.
Unatukyafulia hali ya hewa, ushapata acha wahitaji wasonge mbele, yaani hata kazi haujaanza unaleta usumbufu jukwaani.
Bato linaendeleaMimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.
Unatukyafulia hali ya hewa, ushapata acha wahitaji wasonge mbele, yaani hata kazi haujaanza unaleta usumbufu jukwaani.
Ukiona umepata ujue wenzako wanavyo zaidi ya kwako.Utumishi wa umma kwenu huko, ...Kawaambie familia yako...wewe kuwa mtumishi wa umma ...Mimi inanisaidia nini?? Utauponza...
KAANGALIE PDF HUKOOUkiona umepata ujue wenzako wanavyo zaidi ya kwako.
Pole sana kijana.KAANGALIE PDF HUKOO
Tuna kirusi humu trojan tunakifix kwanza mkuu, yaani jamaa hata Muumba huko anamshangaa kapata kichaa cha ghafla.Naona uzi unapoteza ushawishi kipindi hiki hauvutii kabisa na unawatia unyonge baadhi yao
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app