Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ushauri wangu ,kwako ambaye umejiona umekata tamaaaa..... Mkuu amka, nyanyuka wewe ni mshindi ...usikubali kukatika tamaa mapema sana hivyo... Hakuna hali ngumu inayodumu milele [emoji123]...kama una sali sanaa, ombaa sanaa kwa Mungu yatapita tu hayo ,na utapata... MWAKA 2024 UKAWE WA MIUJIZA KWAKO.
Amina..tunayo imani
 
Ushauri wangu ,kwako ambaye umejiona umekata tamaaaa..... Mkuu amka, nyanyuka wewe ni mshindi ...usikubali kukatika tamaa mapema sana hivyo... Hakuna hali ngumu inayodumu milele 💪...kama una sali sanaa, ombaa sanaa kwa Mungu yatapita tu hayo ,na utapata... MWAKA 2024 UKAWE WA MIUJIZA KWAKO.
Kabisa mm ni shahidi ila nipo NGO.
 
Kamesha tujambia humu kanakuja kujikosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sio kukujambia, ila nakwambia ukweli...Kama huna kazi mimi nakuomba hata leo upate kazi... Cz nimepitia situation ya ujobless .... najua zile dharau tumepitia... So sihitaji mwanaume mwenzangu apite huko.... Mungu awasaidie hichi kikombe kama mimi nilivyopita na wewe na wengine wapite .... Ujobless unatweza Utu. Mtu na degree yako inafika sometimes unakosa hata ile 10 nyekundu mfukoni....

Nyie nitukaneni ,ila mimi nawaombea hata muda huu mkeka utoke mchomoke wote . Zile stress sio tunakuwa kama nusu machizi.. kila siku wenzako wanajipata wewe tu ndio unakosa.
 
Mimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.

Unatukyafulia hali ya hewa, ushapata acha wahitaji wasonge mbele, yaani hata kazi haujaanza unaleta usumbufu jukwaani.
 
Mimi nawaombea mpate, tena nilitamani humu ...wakina mfwende na wenzie ambao wamepata kazi...Tungeanzisha hata kikundi maalumu watsp cha kuwasaidia wenzetu ..maana najua kuna watu ambao wengine wanakosa hata nauli ya kwenda Interview dodoma ...

Cz ya maisha kama ingeweza kufanya organiation nzuri tukasaidia hata kutoa elfu 5 , 5 kwa mtu ambaye yupo serious atakwama najua hatuwezi kufilisika .... Na Mungu atatulipia... Mimi niseme ukweli Huu uzi umenisaidia sana kupata kazi, cz technique nyingi nimejifunzia humu...japokuwa mnaona kama nawaoshea.
 
Mimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.

Unatukyafulia hali ya hewa, ushapata acha wahitaji wasonge mbele, yaani hata kazi haujaanza unaleta usumbufu jukwaani.
Utumishi wa umma kwenu huko, ...Kawaambie familia yako...wewe kuwa mtumishi wa umma ...Mimi inanisaidia nini?? Utauponza...
 
Mimi ni mtumishi wa umma mwenye kuzingatia STK unajua maana ya STK? Au upo kama kiroba na pia nina business binafsi tena ni kampuni.

Unatukyafulia hali ya hewa, ushapata acha wahitaji wasonge mbele, yaani hata kazi haujaanza unaleta usumbufu jukwaani.
Bato linaendelea
Naendelea kujifunza vitu Sana.
 
Huu uzi unapoelekea naona unaanza kukosa ushawishi kama serikali ya ccm
 
KAANGALIE PDF HUKOO
Pole sana kijana.
FB_IMG_1692565779603.jpg
 
Back
Top Bottom