Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

zamani ila sio kwa sasa
Hadi kwa sasa, mifumo mingi Imejengwa na wageni,
  • ikitokea zimeharibika Hadi wataalam watoke nje waje watengeneze, mashine ya CT SCAN iliharibika mtaalam itabidi atafutwe kutoka nje
  • mfumo Kama wa TANCIS wa TRA umejengwa na wageni
 
kwanin TRA wameajiri ma developer zaidi ya 100 wakati mifumo yao wanatengeza wageni? kuna watu wazawa wapo wanatengeneza hiyo mifumo wala sio wageni fatilia eGa hata PPRA wana mfumo wao mkubwa wa mununuzi wanatengeneza wazawa wapo hapo iringa
 
Developers ambao ni incompetent
 
Shida sio kwamba hakuna watu competent kwenye kada ya IT shida kubwa kibongobongo ni kuwa sometimes serikali yenyewe haijui inamtaka mtu wa aina gani[emoji3][emoji3] mfano unaitwa interview ya Networking unakutana na maswali ya developer unaitwa interview ya System Analysis and Design SAD unakutana na mtihani wa LAN na zile network protocols zingne.

Siku waajiri wa serikali wakijua kuwa IT ni field Pana sana ambayo hauwezi kuwa competent kila sehemu ndipo hata modes za kumpata mtaalam husika itakuwa sawa mi binafsi interview za private naenjoy ukienda unakutana na maswali husika kabisa ukifeli unasema kweli ni haki Ila kwa serikali unaweza shangaa mpka ukahisi hivi ni kweli walikuwa wananitaka Mimi au mwingne.
 
Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
hakuna chuo kinatoa watu wote competent kwa sababu hata uelewa wetu haupo sawa kwenye kada zote hata huko kwenye kada yako kuna watu hawapo competent sio ICT tu. hata civil tunaona wanakuja wachina hapa na waturuki kujenga madaraja.
 
Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
ICT ni wide Sana Kaka labda useme hasa kwenye field ipi Sasa ndani ya ICT...shida ya mashirika yetu ya uma IT akiajiriwa anatakiwa yeye huyo huyo awe maintenance officer, awe network engineer, Huyo huyo awe anafanya Backups za files, Kama Kuna project za kudevelope nae awe developer huwezi mpata mtu wa hivyo na hata ukimpata atakuwa partial sanaaa.

Swali ni je, mashirika yetu yako tayari kuajiri kila mtu ambae yupo perfect kwenye kila kitengo ndani ya hio dept ya ICT??????

Mi na wewe hatujui,,,,,
 
Hadi kwa sasa, mifumo mingi Imejengwa na wageni,
  • ikitokea zimeharibika Hadi wataalam watoke nje waje watengeneze, mashine ya CT SCAN iliharibika mtaalam itabidi atafutwe kutoka nje
  • mfumo Kama wa TANCIS wa TRA umejengwa na wageni
Iko mifumo ya ndan ule wa afya chini ya tamisemi kana nitakuwa sahihi unaitwa Gothomies developer wa hapa hapa bongo product ya udsm huyo jamaa
 
Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
Iko mifumo mingi ya wazawa mzeee huko juuuu .........self microfinance walikuwa na mfumo wao fulan ulikuwa linked na tamisem the same nida walikuwa na project kumkopesha ada
 
Iko mifumo ya ndan ule wa afya chini ya tamisemi kana nitakuwa sahihi unaitwa Gothomies developer wa hapa hapa bongo product ya udsm huyo jamaa
huyo ni mbishi me najua mifumo mingi wametengeneza wazawa. kuna jamaa angu ni database administrator yupo ppra wanatengeneza mfumo wa manunuzi ni wazawa tupu. tra sio wajinga wasingeajiri ma developers 100 kama wanawapa tenda wakorea.
 
Back
Top Bottom