Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

huyo ni mbishi me najua mifumo mingi wametengeneza wazawa. kuna jamaa angu ni database administrator yupo ppra wanatengeneza mfumo wa manunuzi ni wazawa tupu. tra sio wajinga wasingeajiri ma developers 100 kama wanawapa tenda wakorea.
Sahihi mkuuu ubishi sio mzur
 
Ahahahaha, hivi naomba kuuliza. Does it mean kwamba ikisoma selected for oral interview both kwenye web na App ndio uwe na matumaini kazi unapata au inakuaje. Maana. Heeee...
Chances are high omba usiwe na NOT Selected for ORAL kwenye App
 
Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
 
Baada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.

Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
Kabsa..Jobless ni mwiko kukata tamaa
 
Mkuu Kwan hamna CPA ambaye hayuko competent?

Tuachane kusema professional za watu kwamba hawako competent.
Tanzania hii sector ya tehama haiko regulated na hakuna bodi yoyote ambayo ni statutory, Huwezi kulinganisha na Accountancy ambayo Kuna bodi ya NBAA
 
Jobless tukaongeze received
Naona utumish wamewasha [emoji91] za matangazo ya kaz...na call for interview
 
Back
Top Bottom