mavumbamakasha
JF-Expert Member
- Aug 18, 2020
- 228
- 449
Utumishi watu watapata wapi?Achana na utumishi jiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumishi watu watapata wapi?Achana na utumishi jiajiri
Kaka unaijua ICTC? Unaijua IEEE_tz??Tanzania hii sector ya tehama haiko regulated na hakuna bodi yoyote ambayo ni statutory, Huwezi kulinganisha na Accountancy ambayo Kuna bodi ya NBAA
Wanasema above 25 hamuwezi kukimbizana na wajangiliTANAPA watoe kigezo chao cha miaka 25, wanawakosesha jobless asali za huko mbugani.......
Kanzi data itafanya sana kazi maana committee clerk wengi ni wanasheriaHIVI ni nini kilichopelekea utumishi kuita watu 159 ORAL kwenye kada ya COMMITTEE CLERK hili hali nafasi ni 10.
Na status za makatibu zimeanza kubadilikaHIVI ni nini kilichopelekea utumishi kuita watu 159 ORAL kwenye kada ya COMMITTEE CLERK hili hali nafasi ni 10.
Siku ya oral walisema hivi yaani Cha msingi hakikisha unafaulu tu hata kama sio direct, hutomaliza mwaka database. Nikahisi labda nafasi ziliongezeka au Kuna nafasi nyingine kama za watendaji wa kata zinataka watu.HIVI ni nini kilichopelekea utumishi kuita watu 159 ORAL kwenye kada ya COMMITTEE CLERK hili hali nafasi ni 10.
Zimebadilikaje?
Mkuu wametoa job Nini? Naomba tupeana hizo newsAliekuwa na ufahamu juu ya UTT AMIS nijuzeni jamani
Ohooo. Hili la status mtihani sana,,
Junior counsel status zimebadilikaje?
Kama hivi na mtu umefanya oralJunior counsel status zimebadilikaje?
Ii si ndo walishaongelea sana umu wakimanisha umefeli oral
Hii ni app au web?
baba jane bye bye 👋
🤣🤣🤣🤣baba jane bye bye 👋
hiyo ni appHii ni app au web?