El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
Hadi kwa sasa, mifumo mingi Imejengwa na wageni,zamani ila sio kwa sasa
Nimecheka kinaziKavaa gauni kubwaaa kazi yangu ni kupuliza feni yenye upepo mkali nyeti zake ziwe nje, mmeshamuona sasa ni mtupu kuliko debe tupu linalovuma [emoji1787]
Ni mwendo wa kulisagia vyupa tuu Mkuu [emoji1787]Nimecheka kinazi
kwanin TRA wameajiri ma developer zaidi ya 100 wakati mifumo yao wanatengeza wageni? kuna watu wazawa wapo wanatengeneza hiyo mifumo wala sio wageni fatilia eGa hata PPRA wana mfumo wao mkubwa wa mununuzi wanatengeneza wazawa wapo hapo iringaHadi kwa sasa, mifumo mingi Imejengwa na wageni,
- ikitokea zimeharibika Hadi wataalam watoke nje waje watengeneze, mashine ya CT SCAN iliharibika mtaalam itabidi atafutwe kutoka nje
- mfumo Kama wa TANCIS wa TRA umejengwa na wageni
Msamehe kakaKavaa gauni kubwaaa kazi yangu ni kupuliza feni yenye upepo mkali nyeti zake ziwe nje, mmeshamuona sasa ni mtupu kuliko debe tupu linalovuma [emoji1787]
Kwa heshima yako, ndugu yangu sana acha nimsamehe tuu.Msamehe kaka
Developers ambao ni incompetentkwanin TRA wameajiri ma developer zaidi ya 100 wakati mifumo yao wanatengeza wageni? kuna watu wazawa wapo wanatengeneza hiyo mifumo wala sio wageni fatilia eGa hata PPRA wana mfumo wao mkubwa wa mununuzi wanatengeneza wazawa wapo hapo iringa
hujui kitu tulia. nimegundua wew ni mbishi alafu unajifanya mjuaji sanaDevelopers ambao ni incompetent
Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya icthujui kitu tulia. nimegundua wew ni mbishi alafu unajifanya mjuaji sana
Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
Nitakufind Kaka [emoji123][emoji123][emoji122][emoji122]nina experience ya system administrator na security kama umeomba security hizi za mda and lga tutafutane
hakuna chuo kinatoa watu wote competent kwa sababu hata uelewa wetu haupo sawa kwenye kada zote hata huko kwenye kada yako kuna watu hawapo competent sio ICT tu. hata civil tunaona wanakuja wachina hapa na waturuki kujenga madaraja.Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
ICT ni wide Sana Kaka labda useme hasa kwenye field ipi Sasa ndani ya ICT...shida ya mashirika yetu ya uma IT akiajiriwa anatakiwa yeye huyo huyo awe maintenance officer, awe network engineer, Huyo huyo awe anafanya Backups za files, Kama Kuna project za kudevelope nae awe developer huwezi mpata mtu wa hivyo na hata ukimpata atakuwa partial sanaaa.Hebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
Iko mifumo ya ndan ule wa afya chini ya tamisemi kana nitakuwa sahihi unaitwa Gothomies developer wa hapa hapa bongo product ya udsm huyo jamaaHadi kwa sasa, mifumo mingi Imejengwa na wageni,
- ikitokea zimeharibika Hadi wataalam watoke nje waje watengeneze, mashine ya CT SCAN iliharibika mtaalam itabidi atafutwe kutoka nje
- mfumo Kama wa TANCIS wa TRA umejengwa na wageni
Iko mifumo mingi ya wazawa mzeee huko juuuu .........self microfinance walikuwa na mfumo wao fulan ulikuwa linked na tamisem the same nida walikuwa na project kumkopesha adaHebu nitajie Chuo Tanzania kinachotoa watu competent kwenye sector ya ict
huyo ni mbishi me najua mifumo mingi wametengeneza wazawa. kuna jamaa angu ni database administrator yupo ppra wanatengeneza mfumo wa manunuzi ni wazawa tupu. tra sio wajinga wasingeajiri ma developers 100 kama wanawapa tenda wakorea.Iko mifumo ya ndan ule wa afya chini ya tamisemi kana nitakuwa sahihi unaitwa Gothomies developer wa hapa hapa bongo product ya udsm huyo jamaa
incompetent mtu anafanya written, practical na oral na anafaulu zoteDevelopers ambao ni incompetent