Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tanzania hii sector ya tehama haiko regulated na hakuna bodi yoyote ambayo ni statutory, Huwezi kulinganisha na Accountancy ambayo Kuna bodi ya NBAA
Kaka unaijua ICTC? Unaijua IEEE_tz??

Achana na sectors za watu brother we Baki na CPA ndio eneo ambalo unalijua nje ndani ila huku kwa TEHAMA paache Kuna watu wanaijua vzr ukisema hawako competent utakuwa unaidharau taaluma [emoji1666]
 
TANAPA watoe kigezo chao cha miaka 25, wanawakosesha jobless asali za huko mbugani.......
 
Kwa mtumishi aliyewahi kuhama tusaidiane connection ya kupush barua pale utumishi zitoke mapema. Barua inakaa pale hadi unasahau
 
HIVI ni nini kilichopelekea utumishi kuita watu 159 ORAL kwenye kada ya COMMITTEE CLERK hili hali nafasi ni 10.
Siku ya oral walisema hivi yaani Cha msingi hakikisha unafaulu tu hata kama sio direct, hutomaliza mwaka database. Nikahisi labda nafasi ziliongezeka au Kuna nafasi nyingine kama za watendaji wa kata zinataka watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…