Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Dereva wetu mmoja kalamba asali taasisi katoka Local government.Haya mtuletee shuhuda mbalimbali tuwapongeze.
View attachment 2863546
Hongera yake sana, mpe pongezi zangu za dhati.Dereva wetu mmoja kalamba asali taasisi katoka Local government.
Anafanya kuwa idadi ya watumishi 4 waliolamba asali Tena kwenye Ajira portal kutoka halmashauri yetu..!!!
#YNWA
Kiko wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Tulia ww leo weekend, subilia mpaka j3
Na wewe jitahidi kufanya namna uweze kujaribu ajira portal mkuuDereva wetu mmoja kalamba asali taasisi katoka Local government.
Anafanya kuwa idadi ya watumishi 4 waliolamba asali Tena kwenye Ajira portal kutoka halmashauri yetu..!!!
#YNWA
πππ Kakimbia halmashauri!!?Dereva wetu mmoja kalamba asali taasisi katoka Local government.
Anafanya kuwa idadi ya watumishi 4 waliolamba asali Tena kwenye Ajira portal kutoka halmashauri yetu..!!!
#YNWA
[emoji3][emoji3][emoji3] walipe wenyewe cyoEbu utumishi ongezeni ma electrical engineer wengine maana ni kitambo tunasugua bench leo mmenifurahisha. j3 mtaagiza kreti 50 za bia mnywe hapo migiro alafu mtalipa wenyewe [emoji38] [emoji38]
Hongera sana kwake.Dereva wetu mmoja kalamba asali taasisi katoka Local government.
Anafanya kuwa idadi ya watumishi 4 waliolamba asali Tena kwenye Ajira portal kutoka halmashauri yetu..!!!
#YNWA
Mkuu pls naomba usiseme hvyo aisee, acha watu wa database wapate haijalishi kazi ilitangazwa lini, kitaa hali mbaya sana..,unless kama kuna kitu nyuma ya pazia.Utumishi kuita watu kutoka kanzi data kwenye kada ambayo watu wamefanya interview juzi inaleta ukakasi ie committee clerk ii
G hi so9ii it no ski yaMkuu pls naomba usiseme hvyo aisee, acha watu wa database wapate haijalishi kazi ilitangazwa lini, kitaa hali mbaya sana..,unless kama kuna kitu nyuma ya p
Aibu sana kupambana na vijana wakati umri umesogea. Uko 38-42 unaenda kwenye interview na vitoto vya 24-27. Siku niko pale CIVE nasubiri kuingia nikakandwe nikasema ngoja nitafute kibinti kimoja ili nikitoka kukandwa na mimi nikakikande. Ile kukisogelea tu nasikia "Shikamoo"Na wewe jitahidi kufanya namna uweze kujaribu ajira portal mkuu
ogopa kitu kinaitwa utumishiUtumishi kuita watu kutoka kanzi data kwenye kada ambayo watu wamefanya interview juzi inaleta ukakasi ie committee clerk ii
ππππππ€£π€£π€£Aibu sana kupambana na vijana wakati umri umesogea. Uko 38-42 unaenda kwenye interview na vitoto vya 24-27. Siku niko pale CIVE nasubiri kuingia nikakandwe nikasema ngoja nitafute kibinti kimoja ili nikitoka kukandwa na mimi nikakikande. Ile kukisogelea tu nasikia "Shikamoo"
Mood yote ikakata palepale
kibinti kilikukanda kabla ya kukandwa π πAibu sana kupambana na vijana wakati umri umesogea. Uko 38-42 unaenda kwenye interview na vitoto vya 24-27. Siku niko pale CIVE nasubiri kuingia nikakandwe nikasema ngoja nitafute kibinti kimoja ili nikitoka kukandwa na mimi nikakikande. Ile kukisogelea tu nasikia "Shikamoo"
Mood yote ikakata palepale
Acha kabisa na vile nilivaa koti na suruali zetu za halmashaurikibinti kilikukanda kabla ya kukandwa π π