Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
.michakato ipi mkuu? Maana kama wametangaza hizo kazi toka mwezi wa 5 mpaka leo michakato ni ipi? Mi nadhani wangekua wanatoa mda maalumu kuwa toka kazi itangazwe hadi mtu kupangiwa iwe miezi kadhaa watu wajue. Maana kazi zingine kama za Bunge ilikua chap chap vivo hivyo na vyuo tofauti na hizi taasisi zingine.Mi sidhani kama venue ni tatizo wao t wana michakato mingi
Nafikiri kitakacho waangusha watu ni cut point kwasasaICT tayr huko
Mengine tayari pia angalieni kwenye account zenuICT tayr huko
Wengine tulale ee!!ICT tayr huko
Umepita??Mengine tayari pia angalieni kwenye account zenu
Eeeh aisee, sasa nikafue suti, nianze msuri upya maana hawa watu[emoji2955]Umepita??
πππππNikuletee suti yangu??sema Prok we Ushapata kazi unajihangaisha bure tuEeeh aisee, sasa nikafue suti, nianze msuri upya maana hawa watu[emoji2955]
Umepita??
Sema wanatanguliaga kuweka waliofaulu mzee ukiona wanachelewa kukuwekea ujue wamekukanda ππππππWengine tulale ee!!
Hongera sana, ikawe kheri.Eeeh aisee, sasa nikafue suti, nianze msuri upya maana hawa watu[emoji2955]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema wanatanguliaga kuweka waliofaulu mzee ukiona wanachelewa kukuwekea ujue wamekukanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia account mzee pdf huwa inachelewa kutokaHongera sana, ikawe kheri.
Mimi mzee wa deafeted kila mara hata sijihangaishi kuangalia akaunti, pdf tu huwa inanijuza
Angalia kuwa na imani kiongozi Mimi jobless mwenzio nakusihi angalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sijihangaishi kuangali profile
Niacheni. Ntaacha siku nikiona placed[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikuletee suti yangu??sema Prok we Ushapata kazi unajihangaisha bure tu
Niamini umeshapata kazi kama huamini hayaNiacheni. Ntaacha siku nikiona placed[emoji24]
Tutakuwa pamoja pale Asha Rose. Sijui this time nibebe mwamvuli[emoji24]. Jua linakupiga hadi unakuwa mweusi.Hongera sana, ikawe kheri.
Mimi mzee wa deafeted kila mara hata sijihangaishi kuangalia akaunti, pdf tu huwa inanijuza
Nikikuta empty halafu utaanza kuniambia bado wanaendelea kuweka ilihali nishakandwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia account mzee pdf huwa inachelewa kutoka
Nahisi wameweka kada chache, nyingine badoNikikuta empty halafu utaanza kuniambia bado wanaendelea kuweka ilihali nishakandwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri tu pdf, kwenye akaunti huwa hawaniwekei walishanikandaTutakuwa pamoja pale Asha Rose. Sijui this time nibebe mwamvuli[emoji24]. Jua linakupiga hadi unakuwa mweusi.
πππππKumbe we mweupe mashalaaah rangi ya mtume daahππππTutakuwa pamoja pale Asha Rose. Sijui this time nibebe mwamvuli[emoji24]. Jua linakupiga hadi unakuwa mweusi.