Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
Wakuu nimeshafanya oral interview,
Kwenye web status bado iko SELECTED FOR Oral interview then kwenye app Status inasoma NOT SELECTED for oral interview. Hii inamaanisha nini?
Umefanya lini mkuu na kada Gani tukwambie ukweliWakuu nimeshafanya oral interview,
Kwenye web status bado iko SELECTED FOR Oral interview then kwenye app Status inasoma NOT SELECTED for oral interview. Hii inamaanisha nini?
Bandiko bora kwa mwaka wote wa 2024Wakuu naona wengi wenu humu mnapotoshana sana kuhusu kupata Ajira na uhusiano na Mungu
Ajira sio Mambo ya kiroho, ni mambo ya Matendo, naona mnaanza kupeana Hope ambazo haziwezi kuwasaidia katika hili
Kuna zaidi ya 70% ya wanaopata Ajira utumishi hawajawai kwenda kwenye mkesha,hawajawai Kufunga mfungo mtukukufu,na wala hawajawai kuwa swala 5 na wala hawajui mafuta ya mwamposa yanafananaje
Mtu atapata kazi alafu atakwambia ni Mungu tu kusema ukweli me nilifanya vibaya ila niliamua kumrudia Mungu,niliamua kumlilia Mungu,niliamua kusema na Mungu
Come on brothers and sisters, hii mitihani ya Utumishi sio rahisi kama tunavofikiria na wala sio migumu kama tunavyoichukulia, ukitaka kujua mitihani ni migumu angalia marks za Written, kuna watu wanapata hadi 1 au 9 na alijiandaa huyo usidhani yeye kazi alikuwa haitaki
Kupata Ajira ni swala la Performance, Ukipata kazi jipige kifuani kwa sababu ulipafomu kuliko wengine, hizi mark's za oral ni Siri ila ukweli ni kwamba ukitaka kujua reality we angalia mark's za kwenye Written basi utajua kuwa ata kwenye Oral kuna watu wanafeli pia tena sana tu
Unaweza kujihisi wewe hukufanya vizuri ila uhalisia ni kwamba kuna aliefanya vibaya zaidi kuliko wewe, hizo marks zako 40 ndio zimekupa kazi na kumnyima aliepata 20 kushuka chini
Mara ya pili hii nasisitiza wekeza katika kufika Oral, kwenye Written tumia mbinu zozote ambazo haziwezi kukuharibia ili ufike Oral, weka kijiji,igilizia nk ili Tu ufike oral, kwenye oral kuna watu wengi sana hujitoa wenyewe kwenye mashindano kwa sababu mbali mbali
Ukikaa na panelists wanaosimamia oral wakakupa tathmini ya watahiniwa unaweza kucheka na kushangaa inakuaje mtu ana bachelor ya kitu Fulani na hawezi kujielezea, kuna muda hadi wao wanafanya adjustment tu ili waweze kupata watu wanaowataka
Kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral ata sauti waga hazitoki ila hawezi kuja kukwambia,kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral wanaishia tu kusema Dahh/Mungu wangu hakuna point wanakumbuka ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral waga wanakumbuka point 1 Tu kila swali ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu kwenye oral waga wanapanick na kuanza kulia Tu hadi dakika zake zinaisha ila hawatokwambia
Ndomana ukichunguza kwenye Oral kuna ambao waga wanakaa sana na kuna ambao waga wanakaa kidogo Tu unashangaa katoka, kiufupi ni kwamba wanafunzi wa kitanzania kwenye Oral tuko shallow sana, zaidi ya sana kwahiyo jitajihidi sana kujitofautisha na wengine ili wewe uwe katika kundi la wenye unafuu
Kwahiyo kwenye kundi la watu wa namna hiyo ukitokea wewe ambae utaweza angalau kujibu points 2 kwenye kila swali basi unapata kazi yako kiroho Safi bila shida yoyote maana wewe ulikuwa ni mwenye nafuu kuliko wengine, utumishi wakiamua kufata taratibu zote basi watarudia sana kutangaza kazi
Mungu hawezi kubadili 25% ikawa 60% Mungu hawezi kubadili point ya Uongo ikawa ya Kweli, Mungu hawezi kubadili kingereza chako cha hovyo kikawa kizuri katika chumba cha mtihani, mtataka kumpa lawama za bure tu Mungu wenu
Kwakuwa watu watakaopanick kwenye oral lazima wawepo tu hiyo ni pie, basi wewe tumia udhaifu huo kujinoa vile utaona inafaa ili usije kuwa katika kundi la wanaopanick hovyo, jua ni namna gani utaweza kupunguza pressure,jua ni namna gani utaweza kuwa relaxed during interview, ikiwezekana jifunze body posture and body language
Nakupeni Siri tu ambayo itawasaidieni, Asilimia 60% ya wanaopata kazi utumishi sio kwa sababu walifikisha cut off points, lahasha kwa sababu wao walikuwa na unafuu sana kuliko wengine, tuliopata kazi kupitia utumishi tunalijua hili, kuna muda hadi unaona Huruma kwani aliekusaidia kwenye written hadi ukaingia kwenye oral yeye anakosa kazi naww unapata na unajua yeye ni Bora mara 100 zaidi yako
Wewe oral uliionaje? Wanasema maandishi mekundu siyo mazuriHabari wakuu,naomba kuuliza hivi ikiwa mtu umefanya interview za post ambazo zilikuwa za mikataba na nyingine za permanent halafu placement zikatoka ukawa umepata ile ya mkataba vp kuhusu placement za permanent bado nitaitwa au hapo imekaaje maana Kuna placement za permanent zilitoka baada ya kupata hii ya mkataba na jina halikuwepo
umefanya lini oral
Oral niliifanya tu vizuri,na mpaka sasa status inasoma selected for oral interview both web na app, wasiwasi wangu ni kuwa isije ikawa kwa vile nimepata hii ya contract wakaninyima zile za permanentWewe oral uliionaje? Wanasema maandishi mekundu siyo mazuri
Kazi za contract ua zina kanzidata?Oral niliifanya tu vizuri,na mpaka sasa status inasoma selected for oral interview both web na app, wasiwasi wangu ni kuwa isije ikawa kwa vile nimepata hii ya contract wakaninyima zile za permanent
Kazi za contract ua zina kanzidata?
Hapa Dada umekandwa tayari tuache kupepesa maneno. Ongeza received tu.Wakuu nimeshafanya oral interview,
Kwenye web status bado iko SELECTED FOR Oral interview then kwenye app Status inasoma NOT SELECTED for oral interview. Hii inamaanisha nini?
Hii sio rahisiOral niliifanya tu vizuri,na mpaka sasa status inasoma selected for oral interview both web na app, wasiwasi wangu ni kuwa isije ikawa kwa vile nimepata hii ya contract wakaninyima zile za permanent
imagine siku zitoke kazi kwa ajilli ya watu wa bara tu π πUbaguzi unaendelea eGA wametoa nafasi za kazi kwa ajili ya Zanzibar tu.
Lazima uwe mzanzibari mkazi
Mkuu umeongea point kweli lakini Utumishi hakutabiriki ,Kuna watu najua wamepata Kazi Sababu walikua darasani vizuri GPA nzuri,wengine wanajua kujieleza vizuri ,kujiamini kwingi.na wengine Wana hizo sifa zote lkn hawajapata,na wengine Ni God's grace tuWakuu naona wengi wenu humu mnapotoshana sana kuhusu kupata Ajira na uhusiano na Mungu
Ajira sio Mambo ya kiroho, ni mambo ya Matendo, naona mnaanza kupeana Hope ambazo haziwezi kuwasaidia katika hili
Kuna zaidi ya 70% ya wanaopata Ajira utumishi hawajawai kwenda kwenye mkesha,hawajawai Kufunga mfungo mtukukufu,na wala hawajawai kuwa swala 5 na wala hawajui mafuta ya mwamposa yanafananaje
Mtu atapata kazi alafu atakwambia ni Mungu tu kusema ukweli me nilifanya vibaya ila niliamua kumrudia Mungu,niliamua kumlilia Mungu,niliamua kusema na Mungu
Come on brothers and sisters, hii mitihani ya Utumishi sio rahisi kama tunavofikiria na wala sio migumu kama tunavyoichukulia, ukitaka kujua mitihani ni migumu angalia marks za Written, kuna watu wanapata hadi 1 au 9 na alijiandaa huyo usidhani yeye kazi alikuwa haitaki
Kupata Ajira ni swala la Performance, Ukipata kazi jipige kifuani kwa sababu ulipafomu kuliko wengine, hizi mark's za oral ni Siri ila ukweli ni kwamba ukitaka kujua reality we angalia mark's za kwenye Written basi utajua kuwa ata kwenye Oral kuna watu wanafeli pia tena sana tu
Unaweza kujihisi wewe hukufanya vizuri ila uhalisia ni kwamba kuna aliefanya vibaya zaidi kuliko wewe, hizo marks zako 40 ndio zimekupa kazi na kumnyima aliepata 20 kushuka chini
Mara ya pili hii nasisitiza wekeza katika kufika Oral, kwenye Written tumia mbinu zozote ambazo haziwezi kukuharibia ili ufike Oral, weka kijiji,igilizia nk ili Tu ufike oral, kwenye oral kuna watu wengi sana hujitoa wenyewe kwenye mashindano kwa sababu mbali mbali
Ukikaa na panelists wanaosimamia oral wakakupa tathmini ya watahiniwa unaweza kucheka na kushangaa inakuaje mtu ana bachelor ya kitu Fulani na hawezi kujielezea, kuna muda hadi wao wanafanya adjustment tu ili waweze kupata watu wanaowataka
Kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral ata sauti waga hazitoki ila hawezi kuja kukwambia,kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral wanaishia tu kusema Dahh/Mungu wangu hakuna point wanakumbuka ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral waga wanakumbuka point 1 Tu kila swali ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu kwenye oral waga wanapanick na kuanza kulia Tu hadi dakika zake zinaisha ila hawatokwambia
Ndomana ukichunguza kwenye Oral kuna ambao waga wanakaa sana na kuna ambao waga wanakaa kidogo Tu unashangaa katoka, kiufupi ni kwamba wanafunzi wa kitanzania kwenye Oral tuko shallow sana, zaidi ya sana kwahiyo jitajihidi sana kujitofautisha na wengine ili wewe uwe katika kundi la wenye unafuu
Kwahiyo kwenye kundi la watu wa namna hiyo ukitokea wewe ambae utaweza angalau kujibu points 2 kwenye kila swali basi unapata kazi yako kiroho Safi bila shida yoyote maana wewe ulikuwa ni mwenye nafuu kuliko wengine, utumishi wakiamua kufata taratibu zote basi watarudia sana kutangaza kazi
Mungu hawezi kubadili 25% ikawa 60% Mungu hawezi kubadili point ya Uongo ikawa ya Kweli, Mungu hawezi kubadili kingereza chako cha hovyo kikawa kizuri katika chumba cha mtihani, mtataka kumpa lawama za bure tu Mungu wenu
Kwakuwa watu watakaopanick kwenye oral lazima wawepo tu hiyo ni pie, basi wewe tumia udhaifu huo kujinoa vile utaona inafaa ili usije kuwa katika kundi la wanaopanick hovyo, jua ni namna gani utaweza kupunguza pressure,jua ni namna gani utaweza kuwa relaxed during interview, ikiwezekana jifunze body posture and body language
Nakupeni Siri tu ambayo itawasaidieni, Asilimia 60% ya wanaopata kazi utumishi sio kwa sababu walifikisha cut off points, lahasha kwa sababu wao walikuwa na unafuu sana kuliko wengine, tuliopata kazi kupitia utumishi tunalijua hili, kuna muda hadi unaona Huruma kwani aliekusaidia kwenye written hadi ukaingia kwenye oral yeye anakosa kazi naww unapata na unajua yeye ni Bora mara 100 zaidi yako
Haya mambo ya status ni pasua kichwa sanaWakuu nimeshafanya oral interview,
Kwenye web status bado iko SELECTED FOR Oral interview then kwenye app Status inasoma NOT SELECTED for oral interview. Hii inamaanisha nini?
Mkuu ni either upende au usipende ila ukweli ni huo hakuna God's Grace hapo, ni vile tu hujui wengine walifanya vipi kwenye kujibu na huwezi kuona matokeo yaoMkuu umeongea point kweli lakini Utumishi hakutabiriki ,Kuna watu najua wamepata Kazi Sababu walikua darasani vizuri GPA nzuri,wengine wanajua kujieleza vizuri ,kujiamini kwingi.na wengine Wana hizo sifa zote lkn hawajapata,na wengine Ni God's grace tu
Wanadai Tanganyika haipo kwenye katibaimagine siku zitoke kazi kwa ajilli ya watu wa bara tu π π
Sio kweli, haiwezekani chaguo la kwanza ichukue wa alama ndogo kuliko chaguo la pili.Ajabu nyie mkiona mtu katokea Database mnahisi alifanya vibaya oral kumbe huyo ndo alieongoza na akawekwa pembeni ili kusubiri mchakato wa maandalizi akale Asali yake
Mkuu kuna sehemu nimesema anachukuliwa mwenye alama ndogo na mwenye alama kubwa anaachwa?Sio kweli, haiwezekani chaguo la kwanza ichukue wa alama ndogo kuliko chaguo la pili.
"Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana."
"Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."