Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu,naomba kuuliza hivi ikiwa mtu umefanya interview za post ambazo zilikuwa za mikataba na nyingine za permanent halafu placement zikatoka ukawa umepata ile ya mkataba vp kuhusu placement za permanent bado nitaitwa au hapo imekaaje maana Kuna placement za permanent zilitoka baada ya kupata hii ya mkataba na jina halikuwepo
 
Wakuu naona wengi wenu humu mnapotoshana sana kuhusu kupata Ajira na uhusiano na Mungu

Ajira sio Mambo ya kiroho, ni mambo ya Matendo, naona mnaanza kupeana Hope ambazo haziwezi kuwasaidia katika hili

Kuna zaidi ya 70% ya wanaopata Ajira utumishi hawajawai kwenda kwenye mkesha,hawajawai Kufunga mfungo mtukukufu,na wala hawajawai kuwa swala 5 na wala hawajui mafuta ya mwamposa yanafananaje

Mtu atapata kazi alafu atakwambia ni Mungu tu kusema ukweli me nilifanya vibaya ila niliamua kumrudia Mungu,niliamua kumlilia Mungu,niliamua kusema na Mungu

Come on brothers and sisters, hii mitihani ya Utumishi sio rahisi kama tunavofikiria na wala sio migumu kama tunavyoichukulia, ukitaka kujua mitihani ni migumu angalia marks za Written, kuna watu wanapata hadi 1 au 9 na alijiandaa huyo usidhani yeye kazi alikuwa haitaki

Kupata Ajira ni swala la Performance, Ukipata kazi jipige kifuani kwa sababu ulipafomu kuliko wengine, hizi mark's za oral ni Siri ila ukweli ni kwamba ukitaka kujua reality we angalia mark's za kwenye Written basi utajua kuwa ata kwenye Oral kuna watu wanafeli pia tena sana tu

Unaweza kujihisi wewe hukufanya vizuri ila uhalisia ni kwamba kuna aliefanya vibaya zaidi kuliko wewe, hizo marks zako 40 ndio zimekupa kazi na kumnyima aliepata 20 kushuka chini

Mara ya pili hii nasisitiza wekeza katika kufika Oral, kwenye Written tumia mbinu zozote ambazo haziwezi kukuharibia ili ufike Oral, weka kijiji,igilizia nk ili Tu ufike oral, kwenye oral kuna watu wengi sana hujitoa wenyewe kwenye mashindano kwa sababu mbali mbali

Ukikaa na panelists wanaosimamia oral wakakupa tathmini ya watahiniwa unaweza kucheka na kushangaa inakuaje mtu ana bachelor ya kitu Fulani na hawezi kujielezea, kuna muda hadi wao wanafanya adjustment tu ili waweze kupata watu wanaowataka

Kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral ata sauti waga hazitoki ila hawezi kuja kukwambia,kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral wanaishia tu kusema Dahh/Mungu wangu hakuna point wanakumbuka ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral waga wanakumbuka point 1 Tu kila swali ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu kwenye oral waga wanapanick na kuanza kulia Tu hadi dakika zake zinaisha ila hawatokwambia

Ndomana ukichunguza kwenye Oral kuna ambao waga wanakaa sana na kuna ambao waga wanakaa kidogo Tu unashangaa katoka, kiufupi ni kwamba wanafunzi wa kitanzania kwenye Oral tuko shallow sana, zaidi ya sana kwahiyo jitajihidi sana kujitofautisha na wengine ili wewe uwe katika kundi la wenye unafuu

Kwahiyo kwenye kundi la watu wa namna hiyo ukitokea wewe ambae utaweza angalau kujibu points 2 kwenye kila swali basi unapata kazi yako kiroho Safi bila shida yoyote maana wewe ulikuwa ni mwenye nafuu kuliko wengine, utumishi wakiamua kufata taratibu zote basi watarudia sana kutangaza kazi

Mungu hawezi kubadili 25% ikawa 60% Mungu hawezi kubadili point ya Uongo ikawa ya Kweli, Mungu hawezi kubadili kingereza chako cha hovyo kikawa kizuri katika chumba cha mtihani, mtataka kumpa lawama za bure tu Mungu wenu

Kwakuwa watu watakaopanick kwenye oral lazima wawepo tu hiyo ni pie, basi wewe tumia udhaifu huo kujinoa vile utaona inafaa ili usije kuwa katika kundi la wanaopanick hovyo, jua ni namna gani utaweza kupunguza pressure,jua ni namna gani utaweza kuwa relaxed during interview, ikiwezekana jifunze body posture and body language

Nakupeni Siri tu ambayo itawasaidieni, Asilimia 60% ya wanaopata kazi utumishi sio kwa sababu walifikisha cut off points, lahasha kwa sababu wao walikuwa na unafuu sana kuliko wengine, tuliopata kazi kupitia utumishi tunalijua hili, kuna muda hadi unaona Huruma kwani aliekusaidia kwenye written hadi ukaingia kwenye oral yeye anakosa kazi naww unapata na unajua yeye ni Bora mara 100 zaidi yako
Bandiko bora kwa mwaka wote wa 2024
 
Habari wakuu,naomba kuuliza hivi ikiwa mtu umefanya interview za post ambazo zilikuwa za mikataba na nyingine za permanent halafu placement zikatoka ukawa umepata ile ya mkataba vp kuhusu placement za permanent bado nitaitwa au hapo imekaaje maana Kuna placement za permanent zilitoka baada ya kupata hii ya mkataba na jina halikuwepo
Wewe oral uliionaje? Wanasema maandishi mekundu siyo mazuri
 
Oral niliifanya tu vizuri,na mpaka sasa status inasoma selected for oral interview both web na app, wasiwasi wangu ni kuwa isije ikawa kwa vile nimepata hii ya contract wakaninyima zile za permanent
Hii sio rahisi
 
Wakuu naona wengi wenu humu mnapotoshana sana kuhusu kupata Ajira na uhusiano na Mungu

Ajira sio Mambo ya kiroho, ni mambo ya Matendo, naona mnaanza kupeana Hope ambazo haziwezi kuwasaidia katika hili

Kuna zaidi ya 70% ya wanaopata Ajira utumishi hawajawai kwenda kwenye mkesha,hawajawai Kufunga mfungo mtukukufu,na wala hawajawai kuwa swala 5 na wala hawajui mafuta ya mwamposa yanafananaje

Mtu atapata kazi alafu atakwambia ni Mungu tu kusema ukweli me nilifanya vibaya ila niliamua kumrudia Mungu,niliamua kumlilia Mungu,niliamua kusema na Mungu

Come on brothers and sisters, hii mitihani ya Utumishi sio rahisi kama tunavofikiria na wala sio migumu kama tunavyoichukulia, ukitaka kujua mitihani ni migumu angalia marks za Written, kuna watu wanapata hadi 1 au 9 na alijiandaa huyo usidhani yeye kazi alikuwa haitaki

Kupata Ajira ni swala la Performance, Ukipata kazi jipige kifuani kwa sababu ulipafomu kuliko wengine, hizi mark's za oral ni Siri ila ukweli ni kwamba ukitaka kujua reality we angalia mark's za kwenye Written basi utajua kuwa ata kwenye Oral kuna watu wanafeli pia tena sana tu

Unaweza kujihisi wewe hukufanya vizuri ila uhalisia ni kwamba kuna aliefanya vibaya zaidi kuliko wewe, hizo marks zako 40 ndio zimekupa kazi na kumnyima aliepata 20 kushuka chini

Mara ya pili hii nasisitiza wekeza katika kufika Oral, kwenye Written tumia mbinu zozote ambazo haziwezi kukuharibia ili ufike Oral, weka kijiji,igilizia nk ili Tu ufike oral, kwenye oral kuna watu wengi sana hujitoa wenyewe kwenye mashindano kwa sababu mbali mbali

Ukikaa na panelists wanaosimamia oral wakakupa tathmini ya watahiniwa unaweza kucheka na kushangaa inakuaje mtu ana bachelor ya kitu Fulani na hawezi kujielezea, kuna muda hadi wao wanafanya adjustment tu ili waweze kupata watu wanaowataka

Kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral ata sauti waga hazitoki ila hawezi kuja kukwambia,kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral wanaishia tu kusema Dahh/Mungu wangu hakuna point wanakumbuka ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu wakiwa kwenye oral waga wanakumbuka point 1 Tu kila swali ila hatokwambia, kuna kundi kubwa la watu kwenye oral waga wanapanick na kuanza kulia Tu hadi dakika zake zinaisha ila hawatokwambia

Ndomana ukichunguza kwenye Oral kuna ambao waga wanakaa sana na kuna ambao waga wanakaa kidogo Tu unashangaa katoka, kiufupi ni kwamba wanafunzi wa kitanzania kwenye Oral tuko shallow sana, zaidi ya sana kwahiyo jitajihidi sana kujitofautisha na wengine ili wewe uwe katika kundi la wenye unafuu

Kwahiyo kwenye kundi la watu wa namna hiyo ukitokea wewe ambae utaweza angalau kujibu points 2 kwenye kila swali basi unapata kazi yako kiroho Safi bila shida yoyote maana wewe ulikuwa ni mwenye nafuu kuliko wengine, utumishi wakiamua kufata taratibu zote basi watarudia sana kutangaza kazi

Mungu hawezi kubadili 25% ikawa 60% Mungu hawezi kubadili point ya Uongo ikawa ya Kweli, Mungu hawezi kubadili kingereza chako cha hovyo kikawa kizuri katika chumba cha mtihani, mtataka kumpa lawama za bure tu Mungu wenu

Kwakuwa watu watakaopanick kwenye oral lazima wawepo tu hiyo ni pie, basi wewe tumia udhaifu huo kujinoa vile utaona inafaa ili usije kuwa katika kundi la wanaopanick hovyo, jua ni namna gani utaweza kupunguza pressure,jua ni namna gani utaweza kuwa relaxed during interview, ikiwezekana jifunze body posture and body language

Nakupeni Siri tu ambayo itawasaidieni, Asilimia 60% ya wanaopata kazi utumishi sio kwa sababu walifikisha cut off points, lahasha kwa sababu wao walikuwa na unafuu sana kuliko wengine, tuliopata kazi kupitia utumishi tunalijua hili, kuna muda hadi unaona Huruma kwani aliekusaidia kwenye written hadi ukaingia kwenye oral yeye anakosa kazi naww unapata na unajua yeye ni Bora mara 100 zaidi yako
Mkuu umeongea point kweli lakini Utumishi hakutabiriki ,Kuna watu najua wamepata Kazi Sababu walikua darasani vizuri GPA nzuri,wengine wanajua kujieleza vizuri ,kujiamini kwingi.na wengine Wana hizo sifa zote lkn hawajapata,na wengine Ni God's grace tu
 
Wakuu nimeshafanya oral interview,
Kwenye web status bado iko SELECTED FOR Oral interview then kwenye app Status inasoma NOT SELECTED for oral interview. Hii inamaanisha nini?
Haya mambo ya status ni pasua kichwa sana
 
Mkuu umeongea point kweli lakini Utumishi hakutabiriki ,Kuna watu najua wamepata Kazi Sababu walikua darasani vizuri GPA nzuri,wengine wanajua kujieleza vizuri ,kujiamini kwingi.na wengine Wana hizo sifa zote lkn hawajapata,na wengine Ni God's grace tu
Mkuu ni either upende au usipende ila ukweli ni huo hakuna God's Grace hapo, ni vile tu hujui wengine walifanya vipi kwenye kujibu na huwezi kuona matokeo yao

Ukweli ni kwamba watu wengi wanafanya vibaya interview za Oral na wenye unafuu wengi hupata kazi kupitia hiyo opportunity

Utumishi wakisema wanataka watu 50, watachukua watu wao 50 au ata na zaidi haijarishi matokeo yao yatakuwaje, watachukua hadi Wenye mark's 30 ilimradi tu lengo litimie

Kama hujawahi kujua basi ujue, kuwa wengi ambao wanafanikiwa katika haya maisha kwenye kila nyanja ni wale wasiowekeza Akili na nguvu kubwa kwenye mambo ya Imani Imani za Mungu Bali ni wale wanaowekeza kwenye kufanya na kuwa competent

Mimi nimepata kazi kupitia utumishi sio kwamba nilifanya vizuri bali nilikuwa na unafuu kwa sababu interview ilikuwa Ngumu sana kusema ukweli

Wapo ambao nawajua nawewe najua unawajua tangu tuko vyuo waliwekeza nguvu kubwa kwenye kusali sana ili wafanye vizuri kwenye masomo yao na wawe vizuri kwenye Mambo mengine ila ndio hao hao waga Wana wanaongoza kwa kudisco na wanaoshinda Bar na club watoboa

Tatizo tumelelewa na kuamini vitu ambavyo havina msaada sana kwenye maisha yetu ya kila siku, Mambo za kuambiana ohhh ridhiki mafungu saba, ohhh Mungu waga Hawai wala hachelewi, ohhh Mungu anajua kama angenipa Mie basi nisingedumu pale

Brother hizo ni lugha ambazo zinatumika Kwa Maskini Tu ili kujifariji, wekeza Nguvu,Muuda,Akili,Maarifa na connection katika Mambo yako na lazima tu utajitofautisha na walio wengi

Na kwakuwa wengi wetu waga sio wakweli katika kuelezea njia za mafanikio basi huishia kusema ni Mungu tu, ata kama ulipewa mchongo husemi husemi ukweli, kama kwenu waga mnafanya matambiko ni kheri ukafanye hayo kuliko kukaa kulia na Mungu

Mwisho wa siku ndugu yangu haya ni mawazo yangu tu, na wala sio sheria kusema lazima iwe kweli, bali tunajaribu kupeana uzoefu wa hapa na pale kama kuna sehemu utaona unafaa unaishi nao, kama mtu ataona ni pumba basi fresh akakeshe Kanisani na awe swala 5

DUNIA haijawahi kuwa FAIR na haitokuja kuwa FAIR
 
Ajabu nyie mkiona mtu katokea Database mnahisi alifanya vibaya oral kumbe huyo ndo alieongoza na akawekwa pembeni ili kusubiri mchakato wa maandalizi akale Asali yake
Sio kweli, haiwezekani chaguo la kwanza ichukue wa alama ndogo kuliko chaguo la pili.

"Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya
nafasi kupatikana."

"Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa."
 
Mkuu kuna sehemu nimesema anachukuliwa mwenye alama ndogo na mwenye alama kubwa anaachwa?

Jitajihidi kuelewa hoja yangu, nasema kuwa sio kila anaetoja database alifanya vibaya, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi wengi wao wanakuwa walifaulu vizuri sana ila kutokana na maandalizi ya Taasisi kuwa yanachukua muda mrefu hupelekea kuwekwa pending ila kazi washapata

Nyie mkiona mtu anatokea Database mnadhani wote hawakufanya vizuri ila kumbe wengi wao ni waliofanya vizuri ila kuliko placement yake itoke mwezi wa 1 alafu kazini aende kuanza mwezi 4 wanaona wamuweke Kwanza benchi kusubiri mchakato ukamilike

Nimetolea mfano wafanyakazi wapya Halmashauri wanakaa hadi zaidi ya Mwaka/miaka ata Hela zao za kujikimu hawapewi, ila kwa Taasisi waga ni tofauti, kuna budget ya hela za kujikimu,na wengine Makazi na usafiri bila kusahau mishahara yao

Acheni kuishi Kwa kukariri kuwa wanaotoka kwenye placement wa Kwanza ndio waliofanya vizuri kwenye Oral kuliko watakaokaa database, wanaotoka database na kwenda kwenye Taasisi kubwa wanakuwa walifanya vizuri ila wakasubirishwa Tu
 
Back
Top Bottom