Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Moment ya furaha ni ile ya kuondoka kwenye masijala ya wazi pale AshaRose Migiro ukiwa na barua yako ya placement mkononi, ila mchakato wa kukandwa ni bonge la mbungi kiukweli!!!
Capture....JPG
 
kuna jamaa wawili tuliofanya nao oral wamepangiwa kazi na utumishi juzi lakini wale jamaa wameshaanza kazi TRA hile ajira mpya. hapo utumishi watafanya nini
Nimemsikia mpita njia anajisemesha..
anaseme TRA wanaaza training tarehe 8/01
 
Iv cku hizi PSRS ajira App uki login Haina sehemu ya logout Kama mwanzo?
 
kuna jamaa wawili tuliofanya nao oral wamepangiwa kazi na utumishi juzi lakini wale jamaa wameshaanza kazi TRA hile ajira mpya. hapo utumishi watafanya nini
TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.

PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.

PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database
 
Unajitoa alafu unaomba kibali cha ajira huko ulipojitoa ....
Ni usanii tu walikuwa wanajambo lao...
 
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.

Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom