Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmhh yaan kuna watu asali zinawatafutakuna jamaa wawili tuliofanya nao oral wamepangiwa kazi na utumishi juzi lakini wale jamaa wameshaanza kazi TRA hile ajira mpya. hapo utumishi watafanya nini
Nimemsikia mpita njia anajisemesha..kuna jamaa wawili tuliofanya nao oral wamepangiwa kazi na utumishi juzi lakini wale jamaa wameshaanza kazi TRA hile ajira mpya. hapo utumishi watafanya nini
washamaliza trainingNimemsikia mpita njia anajisemesha..
anaseme TRA wanaaza training tarehe 8/01
mmhh yaan kuna watu asali zinawatafuta
watapewa watu wengine tu..sasa zile nafasi walizopangiwa na utumishi inakuwaje
Imaana sasa hivi wanalamba salary mwenzi huu..washamaliza training
washaanza na kazi itakuwaImaana sasa hivi wanalamba salary mwenzi huu..
ipoIv cku hizi PSRS ajira App uki login Haina sehemu ya logout Kama mwanzo?
Duuuu lbd kwangu kwenye app cion hyo logout..
Update application yao......
Yes...cjui lengo nn..Update application yao......
logout haipo
TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.kuna jamaa wawili tuliofanya nao oral wamepangiwa kazi na utumishi juzi lakini wale jamaa wameshaanza kazi TRA hile ajira mpya. hapo utumishi watafanya nini
Unajitoa alafu unaomba kibali cha ajira huko ulipojitoa ....TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.
PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.
PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database