na process za kureplace si zitachukua muda sanaTRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.
PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.
PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database
Tunayo imani.Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Sema huu uzi umetubeba sana watu..tulioanza nao kuanzia 2021/2022 wengi wetu tumepata.Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Hongera kaka vp mshapewa confoletaLeo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Ndio maana mwajiri atasubiri kwa muda fulani kama hao waliopangwa kwake wataenda kuripoti ama la.na process za kureplace si zitachukua muda sana
Mwezi huu ukikamilika ndio tunakuwa tumemaliza miezi 12 na kuwa na haki ya kupata/kutopata hizo letaHongera kaka vp mshapewa confoleta
Kabisa , ila hapa katikati kuna vijana wa juzi juzi wamekuja na tabia za ajabu ajabu. Kukejeli , dharau . Kukatishana tamaa.Sema huu uzi umetubeba sana watu..tulioanza nao kuanzia 2021/2022 wengi wetu tumepata.
Kipindi kile nakumbuka tulikua tunadiscuss sana jinsi ya kujibu maswali na wengine wakituma maswali yaliyoulizwa.
Ila sikuhizi naona tunabishana tu vitu hata havina maana, hii sio nzuri kabisa. Mfano mtu akiingia kwenye huu uzi leo, hadi kujua madini yaliyopo humu ni ngumu sana.
hapo kama umesoma nje ya nchi una attach verification certificate kutoka TCU kama umesoma hapa nchini achana napoWakuu hivi hapo nilipozungushia wino mwekundu kunakaa nini?
Maana hata nikibonyeza hakuna Kinachoingia Hapo.
Sehemu ya Vyeti vya Degree na shule nimeweka. Sehemu ya transcript nimeweka.
Ila hapo pekundu ni nini??View attachment 2865974
Sawa mkuu. Shukrani sanahapo kama umesoma nje ya nchi una attach verification certificate kutoka TCU kama umesoma hapa nchini achana napo
Sema zamani walikuwa na utaratibu wa kuwapigia simu kwanza watu walioko database kabla ya kutoa pdf, siku hizi wanatoa tu.TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.
PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.
PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database
Haki ya kupata ilipatikana pale ambapo muajiri hakukupa taarifa ya kuongeza prob. kabla ya miezi mitatu ya mwisho kwa scenario hii mwezi October 2023 alipaswa akujulishe kama anania ya kuongeza muda ila kwakuwa alikaa kimya basi we subiria barua.Mwezi huu ukikamilika ndio tunakuwa tumemaliza miezi 12 na kuwa na haki ya kupata/kutopata hizo leta
Brother @Mwifwa,You have been always encouraging your fellow colleagues here.Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Kikubwa ni kupata kwanza check number..hiyo njaa itaenda kueleweka huko huko mbele ya safari.utumishi naskia njaa..
mpaka kuipata sasa.Kikubwa ni kupata kwanza check number..hiyo njaa itaenda kueleweka huko huko mbele ya safari.
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.g
huwa anakuja hapa akipataga muda labda anakuwa na majukumu mengi kiasi cha kushindwa muda mwingi kuwa humuSwahiba wako mfwende sawadogo kapatwa na nini?! Kweli hana lolote la kuwaambia jobless?!!
Mkuu Theophili vp...ngoma bado nyau nyau nnhuwa anakuja hapa akipataga muda labda anakuwa na majukumu mengi kiasi cha kushindwa muda mwingi kuwa humu
Ngoma bado bila bilaMkuu Theophili vp...ngoma bado nyau nyau nn