Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.

PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.

PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database
na process za kureplace si zitachukua muda sana
 
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.

Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Tunayo imani.
 
Sema huu uzi umetubeba sana watu..tulioanza nao kuanzia 2021/2022 wengi wetu tumepata.

Kipindi kile nakumbuka tulikua tunadiscuss sana jinsi ya kujibu maswali na wengine wakituma maswali yaliyoulizwa.

Ila sikuhizi naona tunabishana tu vitu hata havina maana, hii sio nzuri kabisa. Mfano mtu akiingia kwenye huu uzi leo, hadi kujua madini yaliyopo humu ni ngumu sana.
 
Hongera kaka vp mshapewa confoleta
 
na process za kureplace si zitachukua muda sana
Ndio maana mwajiri atasubiri kwa muda fulani kama hao waliopangwa kwake wataenda kuripoti ama la.

Akiona hawajaripoti kwa muda huo ndipo arudi PSRS kuomba watu wengine.
 
Wakuu hivi hapo nilipozungushia wino mwekundu kunakaa nini?

Maana hata nikibonyeza hakuna Kinachoingia Hapo.

Sehemu ya Vyeti vya Degree na shule nimeweka. Sehemu ya transcript nimeweka.

Ila hapo pekundu ni nini??
Screenshot_20240109_101204_Chrome.jpg
 
Sema huu uzi umetubeba sana watu..tulioanza nao kuanzia 2021/2022 wengi wetu tumepata.

Kipindi kile nakumbuka tulikua tunadiscuss sana jinsi ya kujibu maswali na wengine wakituma maswali yaliyoulizwa.

Ila sikuhizi naona tunabishana tu vitu hata havina maana, hii sio nzuri kabisa. Mfano mtu akiingia kwenye huu uzi leo, hadi kujua madini yaliyopo humu ni ngumu sana.
Kabisa , ila hapa katikati kuna vijana wa juzi juzi wamekuja na tabia za ajabu ajabu. Kukejeli , dharau . Kukatishana tamaa.
Naona haya vijana wengi waapya wamekuja kupoteza dira kamili wa huu uzi aisee.
Unaweza ukaingia ukakuta watu wanabishana na vitu ambavyo sio vya maana.
Naona kuna umuhimu wa kukumbushana nini maana ya kuanzisha huu uzi ili hawa vijana waendane na utaratibu wa humu.
Mimi naamini hili jukwaa limesaidia watu wengi sana mwanzoni. Ila kwa huu mwenendo wa hawa vijana wa juzi . Utaaribu hata maana la hili jukwaa.
 
Wakuu hivi hapo nilipozungushia wino mwekundu kunakaa nini?

Maana hata nikibonyeza hakuna Kinachoingia Hapo.

Sehemu ya Vyeti vya Degree na shule nimeweka. Sehemu ya transcript nimeweka.

Ila hapo pekundu ni nini??View attachment 2865974
hapo kama umesoma nje ya nchi una attach verification certificate kutoka TCU kama umesoma hapa nchini achana napo
 
TRA waliamua kujitoa PSRS na wakaendesha wao usaili.

PSRS haikujua kama hao watu washapata kazi huko TRA ndio maana ikawapangia kazi nafasi zilipopatikana.

PSRS kama wangekuwa wanajua wasingewapangia kazi badala yake wangewapangia watu wengine waliokuwa kwenye foleni ya database
Sema zamani walikuwa na utaratibu wa kuwapigia simu kwanza watu walioko database kabla ya kutoa pdf, siku hizi wanatoa tu.
 
Mwezi huu ukikamilika ndio tunakuwa tumemaliza miezi 12 na kuwa na haki ya kupata/kutopata hizo leta
Haki ya kupata ilipatikana pale ambapo muajiri hakukupa taarifa ya kuongeza prob. kabla ya miezi mitatu ya mwisho kwa scenario hii mwezi October 2023 alipaswa akujulishe kama anania ya kuongeza muda ila kwakuwa alikaa kimya basi we subiria barua.
 
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.

Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
Brother @Mwifwa,You have been always encouraging your fellow colleagues here.

God bless you comrade..
 
Swahiba wako mfwende sawadogo kapatwa na nini?! Kweli hana lolote la kuwaambia jobless?!!
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.

Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.g
 
Back
Top Bottom