All the best Hustler.Chief nakukubali sana kwa madini unayotoa humu, sidhani kama kuna sehemu nyingine mtu anaweza kukupa elimu ya bure kama hii.
Yani kikubwa utumishi ni kutoboa kutoka written kwenda oral huko yani aisee afe kipa afe beki lazima kieleweke. Watoe tuu nafasi nyingi tuongeze received hii 2024 na sisi ambao tupo nje tuingie ground kukimbiza...
🤣🤣🤣🤣 Subirin, nyinyi mtapelekwa kwenye Wizara HQ na mataasisi.Dah inamana watu wa mwezi October, 2023 hatuitwi ila wa December wanaitwa? Haina shida Utumishi, sisi ni people tutakutana…
Hiyo haina interview mkuu...pale kafanyiwa mpangokuna taasisi X jana walitumiwa mikataba kwenye email wascan wasign den watume tena kwenye email ya HR.So mikataba walisignia vyumbani,Nawajua baadhi coz tulifanya nao interview walipata kwenye hiyo taasisi,Baadhi ni watt wa wakulima tu.
Usikate tamaa bado mwezi 1 labda utatokea kwenye pdf moja wapo mkuu.Nilifanya interview February 2023. Mwaka umeisha sijaitwa, ndo basi tena hiyo. Bora utumishi wangekuwa wanatoa matokeo ya oral ili ujue kama umepita au umekwama.
App ina majibu yako, inasemaje, selected for oral or not selected for oral?!Nilifanya interview February 2023. Mwaka umeisha sijaitwa, ndo basi tena hiyo. Bora utumishi wangekuwa wanatoa matokeo ya oral ili ujue kama umepita au umekwama.
Unajitoa alafu unaomba kibali cha ajira huko ulipojitoa ....
Ni usanii tu walikuwa wanajambo lao...
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.
Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.
fafanua zaidi hapaApp ina majibu yako, inasemaje, selected for oral or not selected for oral?!
Kama unatumia ajira portal app, imeandikaje?fafanua zaidi hapa
Sawa nimekusikia😊IT mtu wetu sana...hyo PDF ya placement unayo apo pandsha jobless jtatu tuamkie masijala ya wazi[emoji3]
App haina ukweli bhana ni uongoApp ina majibu yako, inasemaje, selected for oral or not selected for oral?!
selected for oral interviewKama unatumia ajira portal app, imeandikaje?
acha atufafanulie labda anaukweliApp haina ukweli bhana ni uongo
ndio mida yake hiiIT mtu wetu sana...hyo PDF ya placement unayo apo pandsha jobless jtatu tuamkie masijala ya wazi[emoji3]
Akili kubwa sana hii!!!Au sio mkuu, kwahiyo wale ambao wanakosa kazi katika hilo Nyomi ni Shetani ndio anakuwa kasimama upande wao kiroho Safi Kabisa
Vile mnamuongelea Mungu ni as if mnamuongelea Binadamu vile, yani mnafanya aonekane kama vile ana upendeleo Kati ya watu Fulani Fulani na wengine kawatenga kabisa, kuna sehemu nyingi tu Mungu amewaachia wenyewe mjipambanie na alie Bora atoboe
Natoa Elimu ambayo inaweza kusaidia watu unaita mbwembwe....! Anyway, labda nikwambie tu watu kama nyie kuendelea kuwepo ni Jambo zuri sana kwa sababu mnapunguza competition kati ya wale ambao wanaamini kama anataka kufanikiwa katika Jambo Fulani anatakiwa awe competent
Nyie mnaamini ili muweze kufanikiwa katika Jambo Fulani mnatakiwa kuongeza MAOMBI, na hamuumii ata mkifeli au kukosa kwa teyari mna kisingizio chenu cha kusema kuwa Mungu hakupenda nipate, saaafi kabisa endelea kusubiri Apende ili upate
So badala ya kufanyia kazi madhaifu yenu na madhaifu ya wengine ili muwe Bora nyie endeleeni kuzidisha Maombi, hivi vitu ni vidogo sana kwa Mungu ndugu zangu, Mungu hawezi kushindwa kukupa kazi kama alikupa UHAI