Au sio mkuu, kwahiyo wale ambao wanakosa kazi katika hilo Nyomi ni Shetani ndio anakuwa kasimama upande wao kiroho Safi Kabisa
Vile mnamuongelea Mungu ni as if mnamuongelea Binadamu vile, yani mnafanya aonekane kama vile ana upendeleo Kati ya watu Fulani Fulani na wengine kawatenga kabisa, kuna sehemu nyingi tu Mungu amewaachia wenyewe mjipambanie na alie Bora atoboe
Natoa Elimu ambayo inaweza kusaidia watu unaita mbwembwe....! Anyway, labda nikwambie tu watu kama nyie kuendelea kuwepo ni Jambo zuri sana kwa sababu mnapunguza competition kati ya wale ambao wanaamini kama anataka kufanikiwa katika Jambo Fulani anatakiwa awe competent
Nyie mnaamini ili muweze kufanikiwa katika Jambo Fulani mnatakiwa kuongeza MAOMBI, na hamuumii ata mkifeli au kukosa kwa teyari mna kisingizio chenu cha kusema kuwa Mungu hakupenda nipate, saaafi kabisa endelea kusubiri Apende ili upate
So badala ya kufanyia kazi madhaifu yenu na madhaifu ya wengine ili muwe Bora nyie endeleeni kuzidisha Maombi, hivi vitu ni vidogo sana kwa Mungu ndugu zangu, Mungu hawezi kushindwa kukupa kazi kama alikupa UHAI