Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Chief nakukubali sana kwa madini unayotoa humu, sidhani kama kuna sehemu nyingine mtu anaweza kukupa elimu ya bure kama hii.

Yani kikubwa utumishi ni kutoboa kutoka written kwenda oral huko yani aisee afe kipa afe beki lazima kieleweke. Watoe tuu nafasi nyingi tuongeze received hii 2024 na sisi ambao tupo nje tuingie ground kukimbiza...
All the best Hustler.
 
kuna taasisi X jana walitumiwa mikataba kwenye email wascan wasign den watume tena kwenye email ya HR.So mikataba walisignia vyumbani,Nawajua baadhi coz tulifanya nao interview walipata kwenye hiyo taasisi,Baadhi ni watt wa wakulima tu.
Hiyo haina interview mkuu...pale kafanyiwa mpango
 
Leo katika historia (9Th January) ni siku ambayo IT alimwaga moto pale penye section ya chini ya vimulimuli, moto ukiwa umepamba majina mengi likiwemo langu, ni siku muhimu ya kuikumbuka.

Wito: Usikate tamaa, usiache kwenda kujaribu hadi kieleweke.

Hongera kwa kutimiza mwaka asalini. Nina imani una barış ta ajira na ya kuthibitishwa kazini. Sasa tupambane tuingie DCEA.
 
Au sio mkuu, kwahiyo wale ambao wanakosa kazi katika hilo Nyomi ni Shetani ndio anakuwa kasimama upande wao kiroho Safi Kabisa

Vile mnamuongelea Mungu ni as if mnamuongelea Binadamu vile, yani mnafanya aonekane kama vile ana upendeleo Kati ya watu Fulani Fulani na wengine kawatenga kabisa, kuna sehemu nyingi tu Mungu amewaachia wenyewe mjipambanie na alie Bora atoboe

Natoa Elimu ambayo inaweza kusaidia watu unaita mbwembwe....! Anyway, labda nikwambie tu watu kama nyie kuendelea kuwepo ni Jambo zuri sana kwa sababu mnapunguza competition kati ya wale ambao wanaamini kama anataka kufanikiwa katika Jambo Fulani anatakiwa awe competent

Nyie mnaamini ili muweze kufanikiwa katika Jambo Fulani mnatakiwa kuongeza MAOMBI, na hamuumii ata mkifeli au kukosa kwa teyari mna kisingizio chenu cha kusema kuwa Mungu hakupenda nipate, saaafi kabisa endelea kusubiri Apende ili upate

So badala ya kufanyia kazi madhaifu yenu na madhaifu ya wengine ili muwe Bora nyie endeleeni kuzidisha Maombi, hivi vitu ni vidogo sana kwa Mungu ndugu zangu, Mungu hawezi kushindwa kukupa kazi kama alikupa UHAI
Akili kubwa sana hii!!!
 
Back
Top Bottom