ndioUlifanya tarehe 15/11
Boss, Kuna scenario moja iviBasi kuwa na subira tuu
jina lako linakuja kwenye pdf ya placementBoss, Kuna scenario moja ivi
Yaani unakuta mtu kashapiga oral mathalani miezi mitatu imepita lakin status haijawahi badilika (both web&app)yaani iko vilevile tu ''Selected for Oral interview''
Hii nayo imekaaje.
Pdf lijalo ni zamu yetu, usikate tamaaJanuary 10/11 mwaka 2023 kama sikosei ni siku ambayo nilipata matumaini makubwa Sana baada ya kuufwatilia huu Uzi kimya kimya baada ya kumuona mwamba, mwamasishaji mkubwaa wa Uzi kuingia kwenye pipa la asali, hazikupita siku nyingi January 12 mwezi wa 1 mwaka 2023 na Mimi niliitwa kwenye interview kupitia shuhuda za wadau nilipata ujasiri maana nilishakata tamaa nikahudhuria iyo interview ilikuwa ni written, nikatoboa vizuri sana, February 15 tukaitwa oral placement zikaanza tokea anzia April mwishoni na sasa nakaribia kufikisha mwaka kama ni database inakaribia kuexpire, yote kwa yote jitihada ni muhimu sana, huu Uzi unamatumaini makubwa Sana kwa jobless maana ulinifanya na Mimi nijaribu tena jitihada zangu mpaka kutoboa oral interview, kikubwa tusikate tamaa tuzidishe jitihada Ipo siku na sisi tutatoa shuhuda, mapambano yaendelee
kaka mafanikio yamekaribiaJanuary 10/11 mwaka 2023 kama sikosei ni siku ambayo nilipata matumaini makubwa Sana baada ya kuufwatilia huu Uzi kimya kimya baada ya kumuona mwamba, mwamasishaji mkubwaa wa Uzi kuingia kwenye pipa la asali, hazikupita siku nyingi January 12 mwezi wa 1 mwaka 2023 na Mimi niliitwa kwenye interview kupitia shuhuda za wadau nilipata ujasiri maana nilishakata tamaa nikahudhuria iyo interview ilikuwa ni written, nikatoboa vizuri sana, February 15 tukaitwa oral placement zikaanza tokea anzia April mwishoni na sasa nakaribia kufikisha mwaka kama ni database inakaribia kuexpire, yote kwa yote jitihada ni muhimu sana, huu Uzi unamatumaini makubwa Sana kwa jobless maana ulinifanya na Mimi nijaribu tena jitihada zangu mpaka kutoboa oral interview, kikubwa tusikate tamaa tuzidishe jitihada Ipo siku na sisi tutatoa shuhuda, mapambano yaendelee
[emoji1787]IT mbona kila mkeka wenye electrical sijioni.nimetembea na demu wako nin
Hakika Mungu ni Mwema sana.Nami nakazia hapo next pdf ni uetu wakuu
AminaPdf lijalo ni zamu yetu, usikate tamaa
Hahhahahahahahhahahahaha yan electrical tujipe moyo,v kwanza walishamaliza kiuta mda and lga za mwez wa 6 2023?IT mbona kila mkeka wenye electrical sijioni.nimetembea na demu wako nin
mhh sidhan kama wamemaliza.Hahhahahahahahhahahahaha yan electrical tujipe moyo,v kwanza walishamaliza kiuta mda and lga za mwez wa 6 2023?
Naona wahanga wa hii fani tupo watatu humu sasa hivi ,tuunde jukwaa letu kabisa ,maana utumishi ni kama tumetembea na wake zaoHahhahahahahahhahahahaha yan electrical tujipe moyo,v kwanza walishamaliza kiuta mda and lga za mwez wa 6 2023?
Na wewe ulipiga MDA and LGA ya mwezi wa sita nini ?Hahhahahahahahhahahahaha yan electrical tujipe moyo,v kwanza walishamaliza kiuta mda and lga za mwez wa 6 2023?
Hawa MDA's & LGA's niwahuni tu mtu tokea mwezi wa 6 hadi leo na ndiyo hao hao wamewafanyisha watu mwezi wa 10 hadi leo.Na wewe ulipiga MDA and LGA ya mwezi wa sita nini ?
Maana kazi zenyewe wanatoa as if ni tiketi ya kwenda mbinguni
As if hawataki
😀🤣🤣🤣🤣 Subirin, nyinyi mtapelekwa kwenye Wizara HQ na mataasisi.
Nipo mkuuMkuu mwifwa upo
Huko DCEA kupambana na akina Escobar sio jambo dogo, binafsi hiyo mikimiki siitaki. Wengine kama mna nia pambaneni muingie hukoHongera kwa kutimiza mwaka asalini. Nina imani una barış ta ajira na ya kuthibitishwa kazini. Sasa tupambane tuingie DCEA.
🤣 🤣 tunanyanyaswaNa wewe ulipiga MDA and LGA ya mwezi wa sita nini ?
Maana kazi zenyewe wanatoa as if ni tiketi ya kwenda mbinguni
As if hawataki
watakuepo wengi tu wanaumia chini kwa chini.🤣🤣Naona wahanga wa hii fani tupo watatu humu sasa hivi ,tuunde jukwaa letu kabisa ,maana utumishi ni kama tumetembea na wake zao