Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Basi kuwa na subira tuu
Boss, Kuna scenario moja ivi
Yaani unakuta mtu kashapiga oral mathalani miezi mitatu imepita lakin status haijawahi badilika (both web&app)yaani iko vilevile tu ''Selected for Oral interview''
Hii nayo imekaaje.
 
January 10/11 mwaka 2023 kama sikosei ni siku ambayo nilipata matumaini makubwa Sana baada ya kuufwatilia huu Uzi kimya kimya baada ya kumuona mwamba, mwamasishaji mkubwaa wa Uzi kuingia kwenye pipa la asali, hazikupita siku nyingi January 12 mwezi wa 1 mwaka 2023 na Mimi niliitwa kwenye interview kupitia shuhuda za wadau nilipata ujasiri maana nilishakata tamaa nikahudhuria iyo interview ilikuwa ni written, nikatoboa vizuri sana, February 15 tukaitwa oral placement zikaanza tokea anzia April mwishoni na sasa nakaribia kufikisha mwaka kama ni database inakaribia kuexpire, yote kwa yote jitihada ni muhimu sana, huu Uzi unamatumaini makubwa Sana kwa jobless maana ulinifanya na Mimi nijaribu tena jitihada zangu mpaka kutoboa oral interview, kikubwa tusikate tamaa tuzidishe jitihada Ipo siku na sisi tutatoa shuhuda, mapambano yaendelee
 
Pdf lijalo ni zamu yetu, usikate tamaa
 
kaka mafanikio yamekaribia
 
Hahhahahahahahhahahahaha yan electrical tujipe moyo,v kwanza walishamaliza kiuta mda and lga za mwez wa 6 2023?
Na wewe ulipiga MDA and LGA ya mwezi wa sita nini ?
Maana kazi zenyewe wanatoa as if ni tiketi ya kwenda mbinguni
As if hawataki
 
Back
Top Bottom