ππππππHahhhhhh jobless pro max tunakuaga na rangi kama ya dark blue hivi Yani mweusi si mweusi na mweupe si mweupeHuyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ππππππHuwez kunipata aisee, sote tumesoma udsm, na yeye hajasomea ata mambo ya health,
Ukipigwa na jua kidogo unakuwa mweusi tii na ule upepo plus kupauka. Huna ata suncreen [emoji23]Huyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πππππWe ngoja ulale ndo ukute wamekupost umelala hahhhSema hizi picha wanatupiga utumishi halafu wanapost kwenye website zao zinapita kwa madaha hapaanaaa[emoji23][emoji23], mimi wakianza uwa nalala
@wizy angalia picha ya Prok kwenye zile zilizopo kwenye website ya PSRS.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema hizi picha wanatupiga utumishi halafu wanapost kwenye website zao zinapita kwa madaha hapaanaaa[emoji23][emoji23], mimi wakianza uwa nalala
ππππNaangalia aliyelala tu ndo yeye@wizy angalia picha ya Prok kwenye zile zilizopo kwenye website ya PSRS.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuishi humo kiongoziBaada ya wizy kunishanishawishi kuangalia profile, si nikaangalia.
Nilichokikuta huko kinanisihi kuendelea kuwa chawa na kumpraise huyo boss wa kwenye kijiwe cha kujipatia vijesenti.
Usiku mwema jobless wote
Nalala nafunika sura, inshort nainama najifunika na sweta[emoji23]@wizy angalia picha ya Prok kwenye zile zilizopo kwenye website ya PSRS.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asaivi kuna ngumi inaitwa mlupe lupe
[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Baada ya wizy kunishanishawishi kuangalia profile, si nikaangalia.
Nilichokikuta huko kinanisihi kuendelea kuwa chawa na kumpraise huyo boss wa kwenye kijiwe cha kujipatia vijesenti.
Usiku mwema jobless wote
Kwani kaka hawa Utumishi PDF yetu ya NAOT lini?Najijua mkuu kwa nini nijichoshe[emoji3][emoji3][emoji3]
Ingia kwenye account yakoKwani kaka hawa Utumishi PDF yetu ya NAOT lini?
ππππMakusudi hayoNalala nafunika sura, inshort nainama najifunika na sweta[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]DuuuhIngia kwenye account yako
πππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duuuh
Mbona kimya? Au ndo nimekandwa tayari?Ingia kwenye account yako
Wamekukanda tayariπMbona kimya? Au ndo nimekandwa tayari?
Zilizotoka ni zawatu wa ICT ,kada nyingine bado kaka....au ndo sina uzoefu na ujobless?Wamekukanda tayari[emoji23]