Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hahhhhhh jobless pro max tunakuaga na rangi kama ya dark blue hivi Yani mweusi si mweusi na mweupe si mweupe
 
Baada ya wizy kunishanishawishi kuangalia profile, si nikaangalia.

Nilichokikuta huko kinanisihi kuendelea kuwa chawa na kumpraise huyo boss wa kwenye kijiwe cha kujipatia vijesenti.

Usiku mwema jobless wote
 
Sema hizi picha wanatupiga utumishi halafu wanapost kwenye website zao zinapita kwa madaha hapaanaaa[emoji23][emoji23], mimi wakianza uwa nalala
@wizy angalia picha ya Prok kwenye zile zilizopo kwenye website ya PSRS.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom