Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
Hii ni njia mbaya na inawadanganya wengi ni ngumu kupata mtu sahihi kwa njia hii…cheating ni nyingi sana kwenye hii njia…
Njia ya mitihani ya kwa mkusanyiko ndio njia sahihi na nzuri ya kupata watu sahihi!
 
Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
hiyo sio njia sahihi kabisa, ndomana had dakika hii hadi higher learning institutions zinazo offer online education lazima mwanafunzi aende phyisically kufanya mtihan. Hata ACCA wenyewe ambao ni moja ya reputable Accounting proffession board in the world, mitihan yao lazima ufanye physically na huwa inafanyika muda mmoja.
 
Reactions: jb_
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…