Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
IT usiposhusha mkeka ambao nipo, nitaungana na Chadema na jeshi la Wananchi kufanya usafi hiyo tarh 24 January.. so watch out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaambulia manundu na asali usilambe..IT usiposhusha mkeka ambao nipo, nitaungana na Chadema na jeshi la Wananchi kufanya usafi hiyo tarh 24 January.. so watch o
Andaa bajeti ya siku mbili mana Mm nilifanya training leo then kesho yake nikafanya interview.Asante, Kiongozi
Hii ni njia mbaya na inawadanganya wengi ni ngumu kupata mtu sahihi kwa njia hii…cheating ni nyingi sana kwenye hii njia…Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
[emoji23][emoji23][emoji23]yan mwez huu mpk wa pili wte Co wa kukaa bla bando,walisem wamejipanga watakua hawaremb..tar 15 apo tuliambiwa ivoIT embu ni PM nataka nijue hizi mb nilizobaki nazo leo niziache kwaajili ya pdf au nizimalizie youtube tu..
kweli??Juzi kwnye interview wanasisitiza tutakua hatuchelewesh placement mwaka huu wanasem wamejipanga
hii pdf IT katushtukiza inabidi jioni alete nyingine tuwe tumejipangaleteni mrejesho..
Kuna Asali yako unaandaliwa...Usivunjike moyo Kiongozi...Kutoka 4/4/2022 mpakaka 12/12/2023 nimefanya oral mbili, zote hazipo kwenye pdf! Uvumilivu muhimu
Noted! Uvumilivu muhimu.Kutoka 4/4/2022 mpakaka 12/12/2023 nimefanya oral mbili, zote hazipo kwenye pdf! Uvumilivu muhimu
Ndo walivyotuambiakweli??
hiyo sio njia sahihi kabisa, ndomana had dakika hii hadi higher learning institutions zinazo offer online education lazima mwanafunzi aende phyisically kufanya mtihan. Hata ACCA wenyewe ambao ni moja ya reputable Accounting proffession board in the world, mitihan yao lazima ufanye physically na huwa inafanyika muda mmoja.Hivi utumishi hawawezi kutumia mfumo wa kufanya mitihani online kwa mfano aptitude test then ukifaulu sasa unaenda oral moja kwa moja kuliko hii ya sasa unaenda then wakandaji wanafanya yao ikiwa mtu nauli umeunga unga tuu....
Kumbe kanzi data n zaid ya mwakaKutoka 4/4/2022 mpakaka 12/12/2023 nimefanya oral mbili, zote hazipo kwenye pdf! Uvumilivu muhimu