Ndio inawezekana, wahi mapema kabla ya deadline.Habari wakuu,
naomba kuuliza, hivi utumishi unaweza ukaomba kazi kwny ajira portal na kabla ya deadline kupita ukaruhusiwa kufanya mabadiliko upande wa viambatanisho kama vyeti wakati ulishtuma tayari?
Naombe mnisaidie jibu wakuu.
Ahsante sana.Ndio inawezekana, wahi mapema kabla ya deadline.
mabadiliko unaweza kufanya vizuri tuu..Habari wakuu,
naomba kuuliza, hivi utumishi unaweza ukaomba kazi kwny ajira portal na kabla ya deadline kupita ukaruhusiwa kufanya mabadiliko upande wa viambatanisho kama vyeti wakati ulishtuma tayari?
Naombe mnisaidie jibu wakuu.
Ahsante mkuu.mabadiliko unaweza kufanya vizuri tuu..
Ni huzuniweek sasa bila ya placement utashangaa inatoka placement ina page 2
kuna dalili ya placement leo????Ni huzuni
Inafunguka mbona!Wakuu, mmejaribu ajira portal inafunguka kweli?
Hongera, kapige kaziLeo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Leo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hongera sanaLeo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hongera kapige kazi ila usiache kuendelea kupambania kombe.Leo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Bro nisaidie, tamplet ya application letter uliyotumia.Hakikisha unaongeza received kwa kila nafasi utakayokuwa na vigezo
Hakikisha unahudhuria mkando hata kama nafasi ni moja, hili liwe sambamba na kujiandaa ipasavyo kwa mkando.