Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu,

naomba kuuliza, hivi utumishi unaweza ukaomba kazi kwny ajira portal na kabla ya deadline kupita ukaruhusiwa kufanya mabadiliko upande wa viambatanisho kama vyeti wakati ulishtuma tayari?

Naombe mnisaidie jibu wakuu.
 
Back
Top Bottom