kaka angalia usije uka staafu uko mtaaa[emoji3][emoji3][emoji3]Pole mkuu, mi nina miaka 7 kitaa[emoji1]
Ni hatari mkuu, na hapo nilipiga kozi ya miaka mitano😄kaka angalia usije uka staafu uko mtaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kashafanya huko mabadiliko tena kwa malalamiko ya Thread hii...Una uhakika mama anakosa amani? anajua kinachoendelea? Nani kamuambia? Mbona hafanyi mabadiliko?
Na iwe hivyo inshaallahTuombe pdf zijazo ziwe na majina yetu. Ameen
sawaaHizo ndio Halmashauri kuna madudu sana.
Mcheki mkuu wako wa idara au Afisa rasilimali watu uulize kuna shida gani, Huku hakuna vetting shida ni nini sasa muda wote huo.
Halmashauri ni jipu linalotakiwa kupasuliwa kwa sindano ya moto.
SawaaKashafanya huko mabadiliko tena kwa malalamiko ya Thread hii...
Daah hii imekaaje? wanafuatilia mpaka huku jf?NI mchakato unaofanyika kufuatilia Historia ya mtu kabla ya kumwajili.
Amen...Tuombe pdf zijazo ziwe na majina yetu. Ameen
Au kama pesa hakuna watufungulie hata vijiwe vya chipsutumishi kama imeshindikana tukopesheni bodaboda..
🤣🤣🤣🤣utumishi kama imeshindikana tukopesheni bodaboda..
🤣🤣🤣🤣Au kama pesa hakuna watufungulie hata vijiwe vya chips
🤣 🤣 yaani mtu unabadilisha gia angani kutoka accountant mpaka mkaanga chips.hatari..Au kama pesa hakuna watufungulie hata vijiwe vya chips
Me Medical attendant ninahitji.....je NAWEZA kukutafuta au muda umepita ?anaehitaji connection ya hizi ajira za wizara ya afya anicheki hii ni kwa medical attendant pekee
Acha masiala....kuna pdf uko
wapi hukooookuna pdf uko