Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Jamani, usikute yule marehemu pale web ndo alikuwa IT mbona kimya sana kuhusu pdf!!!? 😂utumishi sio wa kuwapa dhamana kabisa..
Hivi hawa Tanroads haya matangazo yao ya kazi huwa wanaita watu kweli , maana mm huwa natumaga maombi ila sijawahitwa interview hata moja. Nakumbuka ya mwisho kutuma ilikuwa mwaka jana Tanroad Mwanza ila hadi leo kimya . Na zilikuwa za mkataba ya mwaka.
Au hii Taasisi pia ndio wale wale kuitana kwa undugu kwenye kazi yao.
Nmekuwa nikifanya hivyo ku update cv kutokana na Mahitaji yao ya kazi katika matangazo yao lkn wap.Kuna namna inabidi uiweke CV (Projects related) yako ili kupata walau chance ya kuitwa
Ila mara nyingi wanaita watu wao (connection)
Mwamba kama mwamba El marabiosh:😂😂si ndio hata mimi nashangaa yaani utumishi hata ubwabwa kutupikia wanashindwa jaman.yaani pale wengine wanafeli kwasababu ya njaa.. 🤣 🤣
nambie ndugu yangu naona utumishi wamekamia gemu. 🤣 🤣Mwamba kama mwamba El marabiosh:😂😂
Wao wenyewe Usikute Posho ya siku haitoshi ndo maana wanafanya makusudi kutucheleweshea Placement.....si ndio hata mimi nashangaa yaani utumishi hata ubwabwa kutupikia wanashindwa jaman.yaani pale wengine wanafeli kwasababu ya njaa.. [emoji1787] [emoji1787]
Vyeti vyako vimegongwa mhuri wa Mwanasheria?Nmekuwa nikifanya hivyo ku update cv kutokana na Mahitaji yao ya kazi katika matangazo yao lkn wap.
Vp ww umewahi kuitwa kweli ,
Hili swala la connection hata mimi nimeanza kulihisi aisee
Lile Baridi pale sio pouwa aixee na Mazingira sio rafik sehemu za kukaa hamna jamaa wanaita huku mara kule ila ipo siku tutaboa.Pale asha rose migiro, mkiwa wengi kada tofauti mnapelekeshwa kama watoto na kufokewa juu na walinzi wao. Mnapigwa jua na baridi la dom kabla ya kuingia kukandwa unawaza umaskini wako na familia yako unaona tu hamna namna nikuikubali tu system.
Kweli mkuu utaratibu pale sio mzuri aixee.Pale migiro full utishana.
Interview inaanza saa nne asubuhi saa 12 watu mpo mnapigwa na baridi.
Wakija saa 2 wanajiongelesha ongelesha.
Mara waanze kupanga logistics zao.
Haujakaa sawa mara wamechukua sjmu. Mara wakupeleke bondeni mara wakurudishe juu ni vurugu.
Hapo saa sita wanaanza kujitambulisha panelist mara mpelekwe pembeni.
Yaani ni vita Mpaka unamaliza interview watu hawacheki wala hawaongei hata kukutia moyo.
Kijana wa watu unajiondokea zako pale unapanda kabajaji kako CBE huyo dar es salaam
Kwa kifupi utumishi cyo pakuweka matarajio makubwa.. utapata matatzo ya afya ya akili.Wajuba mpo poa??
Niendelee kuwatia moyo mnaoendelea kusikilizia asali. Kikubwa ni kutokukata tamaa licha ya makwazo mengi yanayojitokeza.
Ndio vyote , huwa na download vile ambavyo nime uphold kwenye ajira portal . Alaf na print vikiwa katika rangi yake alafu natuma ila sijawahi itwa aiseeVyeti vyako vimegongwa mhuri wa Mwanasheria?