El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
aisee wanaboa sana hawa watu acha jamaa ateme nyongo 🤣 🤣Aisee kuwa mpole kaka.
Utatoboa tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee wanaboa sana hawa watu acha jamaa ateme nyongo 🤣 🤣Aisee kuwa mpole kaka.
Utatoboa tuu.
Mkuu tulia halmashaur [emoji2]Wakuu hivi mtu tunaweza kuajiriwa halmashauri/tamisemi akaenda kufanya interview na akapata kazi je tqratibu zipi atafanya ili aweze kuhamia kwenye taqsisi mpya ilhali ana check number?
Ulifanya lini interview?[emoji1787] [emoji1787] mie mwenyewe nimekoma
mie nilifanyaga mwaka jana mwezi wa 6Ulifanya lini interview?
Mmmh sjui wanakwama wapi,ili la mdas/lgas tulilofanya tar 15/1 mbn walisema after 3 weeks majibu yatatoka kumbe tunawez subir meli Airport ,na asubuh mtumishi mmoja kabla ya interview akasema ss ivi mambo yatakua mazuri hawarembi watakua hawachelew kutoa majibu as long as washapta kibali,ss ivi viporo vinaachwaje.kuna kada nyigi tu bado hawajatoa pdf.watu wamefanya interview muda mrefu halafu interview ni nyingi chaajabu wanatoa matokeo wanavyojiskia si ujinga uo
OnlineHivi wakuu kujiunga TAESA mpaka uende kwenye ofis zao ujisajili au hata online unaweza jisajili??
Wapumbavu hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , yaani usawa huu .mie nilifanyaga mwaka jana mwezi wa 6
Ni kweli kabisa Mungu ataleta kheri.Safi Maisha yanaenda
Inawezekana, chakwanza unapoandika barua ya kuomba kazi kama ni mwajiriwa wa serikali, lazima barua yako ipitie kwa Mwajiri wakoWakuu hivi mtu tunaweza kuajiriwa halmashauri/tamisemi akaenda kufanya interview na akapata kazi je tqratibu zipi atafanya ili aweze kuhamia kwenye taqsisi mpya ilhali ana check number?
Another scnerio uliomba ajira za afya ukapata kazi tamisemi imepita miezi database wanakuita taasisi ndo nauliza hapo unafanyaje fanyaje ilhali una check number?Inawezekana, chakwanza unapoandika barua ya kuomba kazi kama ni mwajiriwa wa serikali, lazima barua yako ipitie kwa Mwajiri wako
Yap, alitaka kuchukua points 3 muhimu mbele ya wanawakeHaha jamaa alikosea sana, Bora angekuita chemba akakuambia umekosea,,au alitaka tu kukuaibisha mbele ya wale wanawake
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app