Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++

Huyu jamaa Ni mjinga sna

Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti

Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri

Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko

Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
 
Mkuu ww endelea kusubiri mataasis makubwa na angalau uko sehemu ya kusikilizia,ss ha2na namna tunapambania kombe maana hata sku 1 wote tukawa kwny taasis kubwa,But all in all Mungu ndo mpangaji.
 
Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++

Huyu jamaa Ni mjinga sna

Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti

Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri

Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko

Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
Unaweza ukafanya usaili katika taasisi kubwa kwa bahati mbaya ukakosa, kanzi data ikakupeleka halmashauri vipi hutoripoti huko halmshauri??
 
Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++

Huyu jamaa Ni mjinga sna

Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti

Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri

Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko

Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
Karibu sana Mkuu.
 
411155085_353321820672758_5658133944403975003_n.jpg
 
Yani siku hizi PSRS kutoa placements ishakuwa bahati nasibu,...kwa ground vitu haviko sawa.
Sikumbuki lini wametoa pdf mchana wala asubuhi,...linatoka lile lakuvizia jioni tena majina kumi tu, daah!
 
KUMBE SASA HVI KUNA AGE LIMIT YAAANI SISI WENYE 30+ ndo tusAHAU KABISAAAAA

CC. TANGAZO LA KAZI LA TAKUKURU
Alafu kuna tangazo la kazi shirika la posta pia kuna nafasi kama Customer care office ina age limit not more than 30 yrs
 
Back
Top Bottom