Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaah sijui niwalaumu PSRS sijui niilaumu taasisi sijui niilaumu serikali yaaani sielewi[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa private wanafanya interview ijumaa then j3 mtu anaanza kazi yani mtu anaanza life lake anaweka vi akiba vya mishahara mpka anaelekea kuvuta CROWN [emoji592] Sisi tu nasubria PDF then PDF linakuja haumo uyu wa private December anaenda kusalimia familia akiwa kwenye private car yake[emoji23][emoji23]we unaambiwa nyumbani ntakuja mwaka ujao [emoji23][emoji23]muda huo una wait DATABASE...daaah acheni watu wavimbe wakisha pata check No.
 
Usifanya hasira kaka twende mdogo mdogo😁😁😁😁 endelea kuongeza received
 
Daaah sijui niwalaumu PSRS sijui niilaumu taasisi sijui niilaumu serikali yaaani sielewi[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa private wanafanya interview ijumaa then j3 mtu anaanza kazi yani mtu anaanza life lake anaweka vi akiba vya mishahara mpka anaelekea kuvuta CROWN [emoji592] Sisi tu nasubria PDF then PDF linakuja haumo uyu wa private December anaenda kusalimia familia akiwa kwenye private car yake[emoji23][emoji23]we unaambiwa nyumbani ntakuja mwaka ujao [emoji23][emoji23]muda huo una wait DATABASE...daaah acheni watu wavimbe wakisha pata check No.
Check number muhimu sana ukiipata umejipata,,, kuja kutolewa kazi sana.
 
Back
Top Bottom