Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Kaimu Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Innocent Bomani amewaongoza watumishi wa taasisi hiyo, ndugu, jamaa, marafiki na watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho na kumpumzisha aliyekuwa mtumishi wake Bi. Janeth Saki ambaye alifariki tarehe 4 Februari 2024, mazishi yamefanyika tarehe 7 Februari 2024 jijini Dar es Salaam.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.